hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  2. Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  3. Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  4. Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

    Nawasalimia wana JF, hope mpo fine. Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........ Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na kule katika kutafuta ugali. Katika harakati zangu na kutembea mikoa mbali mbali kuna muda unapita...
  5. Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Dhumuni la kuandika hii thread nikutaka ushauri kwa ambao watakuwa tayari kunipa ushauri nitaupokea. Huyu binti anaezitesa hisia zangu ni bikra na nimethibisha kwakuwa nilishakuwa nae faragha zaidi ya mara moja na nikalithibisha...
  6. ukiweza ku balance hisia zako utafanikisha matamanio yako!

    hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!. mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio utafaulu hapana bali ukiweza ku balance hisia zako ndio utafaulu!. kwa maana ukizishinda sana hisia...
  7. Kwanini mgogoro wa palestine na israel unavuta hisia za watu wengi duniani

    Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani. Mfano: 1) India na Pakistan 2) China na India 3) China na Philippines 4) Nigeria na Cameroon 5) Tanzania na Malawi Migogoro...
  8. Heartbreak 💔. Upendo Wetu Ni Muhimu 💕

    "Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. 💔➡️❤️ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha, misukosuko ya kimapenzi au kifamilia, kumcha mungu katika ibada. [ #SikuKwaSikuJourney ] • Je, wewe...
  9. Wanaume wengi hawatumii logic, wanatumia hisia

    Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts. Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi yupo single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic. Mwanaume anacare sana...
  10. Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Unazeeka au nikuache kwanza? 🙆‍♂️. 1983 - 40 1984 - 39 1985 - 38 1986 - 37 1987 - 36 1988 - 35 1989 - 34 1990 - 33 1991 - 32 1992 - 31 1993 - 30 1994 - 29 1995 - 28 1996 - 27 1997 - 26 1998 - 25 1999 - 24 2000 - 23 2001 - 21 2002 - 20 2003 - 19
  11. Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

    Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu, Mara sijui...
  12. Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

    Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana. Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba labda na wenyewe wanaweza kua na rafiki damudamu mpaka akamsaidie? Mfano kama jinsi kundi la nyumbu...
  13. Hivi kuna Uwezekano wa Serikali tukufu Kutengeneza Skendo yenye kugusa Hisia za watu ili kumkomoa mtu?

    Inawezekana kweli? Yani asubuhi unakuta vyombo vya habari vimepambwa na habari 5 Nyingi "Atuhumiwa Kubaka, Aliyebakwa Asimulia Kilicho tokea" Halafu eti habari hiyo iwe ya uongo yani waitunge ili kukutoa kwenye reli. Mimi siamini kama serikali ina muda huo wewe je?
  14. Unapoandika hisia zako WhatsApp ukafuta, wenye WhatsApp GB wanaona ulichokosea, endelea kukosea ulikuwa sahihi

    Hii ni sentensi yangu, imejaa Falsafa. Naona wengi wanfuta wakat wengine wanaendelea kuona ulichofuta. Binafsi naona madam umeandika usifute. Acha uko sahihi. Kinaacha wengi tunaandika tunafuta, unaandika sentensi unafuta u r wrong. What you have just wrote is right
  15. Hisia: Kuna idadi kubwa ya Watanzania wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome ikija kwenye kutawaliwa na CCM!

    Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu. Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi. Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na...
  16. Picha: Zaidi ya Maneno, zaidi ya Hisia. Je, unaushauri gani?

    = Chanzo: MMM (Mtandao X)
  17. Tuweke hisia pembeni Israel ni ya Waisrael

    Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi? ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
  18. Wajuvi wa maswala ya barabara karibu hapa mnisaidiye.hata kama wewe si mjuvi tupe hisia zako.

    Nakumbuka huko nyuma barabara za mitaa zilipokuwa zinatengenezwa greda ikishachimba zinakuja lori zinamwaga kifusi kutwa,Hadi kazi kukamilika unakuta wiki nzima vifaa vya kazi vipo hapo na barabara ikishatengenezwa inadumu.kwanini sasa greda inachimba halafu boza inamwaga maji na kushindilia...
  19. L

    Mwizi analalamika baada ya kuibiwa: mnachochea hisia ya utaifa!

    “Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na mwanablogu wa China iliibua mjadala mkali ndani na nje ya nchi. Tamthilia hiyo inaelezea jinsi...
  20. B

    Watu na hisia

    Kila mwanadamu anaongozwa na hisia na akili katika kuendesha maisha yake hapa duniani. Wanyama pia huongozwa na hisia katika harakati za kujitafutia mawindo au kumkimbia adui yao (predators). Kabla ya jambo lolote kufanyika, hisia kupitia viungo vya fahamu (sensory organs) kama vile macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…