hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Je, hizi ni hisia au uhalisia kuwa Single Mothers wanapenda kuringishia watoto wao Kwa wanaume smart na wanaoonekama watulivu wasio na heka heka

    Single mother anaweza kupanga sehemu ya kuishi au kufanya biashara (chumba, frame au apartment) na watu wanaomzunguka wasijue kuwa ana mtoto. Mtoto anaweza kuwa anaishi kwa ndugu au sehemu nyingine kwa muda. Baadaye akikutana na mwanaume ambaye anaonekana smart, anajiheshimu, anavutia na yuko...
  2. Idugunde

    JAB yampa Pascal Mayala saa 24 kuthibitisha Dkt. Nchemba aliwaonea wivu Viongozi Wakuu Wastaafu kwenye msiba wa Kadinali Pengo baada ya kushangiliwa

    Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari haikuona Majaliwa akishangiliwa? --- Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Tanzania ( Jounalist Accreditation Board) imempa muda wa masaa 24 Mwandishi wa habari Mwandamizi Paschal Mayala kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Huwezi kuwa kiongozi halafu usitake kupendwa. Uongozi nchi ni kama Ndoa. Huwezi tenganisha Mapenzi na Uongozi

    Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda. 3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
  4. L

    Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  5. Pdidy

    EPUKA KUWA WA MTUMWA WA HISIA ZAKO KWENYE MAPENZI..JTATU NJEMA

    EPUKA KUWA MTUMWA WA HISIA ZAKO MWENYEWE📌📌 Watu wengi leo wana ongozwa na hisia kuliko akili. Ukikasirika unafanya maamuzi ya haraka, ukiumizwa una jihukumu, ukifurahi unatoa ahadi usizo weza kutimiza. Mwisho wa siku unajikuta umeharibu mahusiano, kazi, au heshima yako mwenyewe. Kumbuka hili👇...
  6. haszu

    Hisia mbili zinazowatesa sana wanaume

    1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume wa rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana. 2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu...
  7. Mshana Jr

    Mjadala huru: Zipi hisia zako unapoona ambulance?

    Unawaza nini? Unakumbuka nini? Je unakuogopesha? Je inakuumiza? Je inakuogopesha? Binafsi nina shuhuda zangu nitashare kwenye comments Karibuni kwa mjadala https://www.jamiiforums.com/threads/ambulance-zetu-na-wahudumu-wa-chumba-cha-mahututi.1728818/
  8. L

    Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  9. Just Pray

    PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  10. M

    Madaktari mnaolipua kushona wanawake wanaojifungua kwa operesheni mnachangia ndoa nyingi kuharibika

    Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha) Kuna baadhi ya mishono...
  11. Minjingu Jingu

    Huyu Mke sasa ananishinda, nimepoteza hisia kwake kwa kiwango Kikubwa sana

    Mke wangu ni Mbinafsi na Mchoyo sana. Hili ni tatizo ambalo linanipa shida sana. Mke wangu tuna miaka kadhaa na watoto kadhaa. Kinachosumbua hasa ni ubinafsi. Anapenda kuwa centre of attention katika kila kitu. Ni mtu ambaye anapika nyama kisha anaanza kuchukua kwenye sufia kwa mikono kula...
  12. canular

    Amsha hisia za uzalendo wako Ewe Mtanzania

    Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani, tunabeba uzito wa historia mabegani mwetu. Tumelindwa na milima, mito na maziwa, tumekuzwa na jasho la...
  13. Konzo Ikweta

    Mwalimu na hatua 3 za hisia

    Mwalimu aliingia darasani na kuwaambia wanafunzi kuwa anataka kuwaonesha hatua tatu za hisia za binadamu.. Ya kwanza ikiwa ni sapraizi, ya pili kukereka na ya tatu kughadhibika.. Baada ya maelezo hayo akachukua simu yake na kuandika namba ya simu kwa kubahatisha tu kisha akaweka laudi spika na...
  14. M

    kwenu waraibu wa punyeto, acheni kuvuta hisia kwa kuangalia porn ni bora ujiwaze wewe ni muhusika kuliko mwanaume mwengine

    Heri nusu shari kuliko shari kamili Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k.. wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
  15. BabaMorgan

    Unaweza kukisia hisia wanazopitia watu walionunua magari kwa mkopo

    Ujue unapomiliki usafiri wish kubwa ni kuona chombo chako kiwe chuma cha kazi kila kitu kiwe on point kuanzia muonekano mpaka performance hapo unavimba popote kuanzia kwa wahuni mpaka watoto wazuri. Kilichonitokea leo kimenifanya niwaze kuhusu ndugu zetu wanaomiliki ndinga kupitia mikopo the...
  16. Expensive life

    Hisia zangu; nakukata huku nenda kule kagombee uprezidaa nitakupa billion’s of money.

    Wakuu, ni hisia zangu tu,wamba wamechekecha wakaona kuna mmoja inaonyesha raia wanamkubali, tufanyaje? Tutengeneze movie, kata huku nenda kule. katika zile 700 kuna kafungu kako.
  17. Mtu_imara

    Kichocho+machine kuwa legelege +kukosa Hisia

    Bawasili ya ndani tba yake wakuu,
  18. DuaZaMama

    Steven Wasira: Siwezi kujibu hisia za watu

    "Hisia ni hisia, mimi siwezi kujibu hisia za watu, wala siwezi kuwazuia kuhisi" - Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Stephen Wasira.
  19. Mbepo yamba

    Namhisi vibaya mpenzi wangu. Je, ni hisia tuu au ni kweli?

    Nisiwachoshe kwa misalamu ambayo haijibiwi Wakuu mpenzi wangu tulidekezana sana. Na hatukuwa na siri yoyote kati yetu. Tuko naye kwa miaka miwili sasa mpaka akapata ujauzito na kajifungua salama kabinti kazuri. Sasa kasheshe imeanza hapa. Mwanzo simu yake ilikuwa yangu na yangu yake. Ila sasa...
Back
Top Bottom