SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312.
Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...