Watu wengi wakisikia “DSE” wanafikiria ni sehemu ya kununua hisa tu. Lakini wachache wanaelewa kuwa DSE yenyewe ni biashara inayouza huduma za soko la mitaji.
Huu ni uchambuzi wangu unaolenga kutoa insights za DSE plc shares.
Ukiniuliza kama ni sawa kununua hisa za DSE? Nitakujibu ndio, kwa...
Kalonzo Musyoka ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani cha Wiper Democratic Movement na aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wakati wa uongozi wa Mwai Kibaki, amesema wanafanya uchunguzi juu ya mauzo ya hisa yaliyofanyika hivi karibuni kwenye taasisi ya Nation Media Group kwa bwana Rostam Aziz...
Wadau habari za mida,
Nimekuwa nafuatilia sana kuhusu elimu ya uwekezaji kwa muda sasa kuhusu stock au hisa, hatifungani na mifuko ya uwekezaji ya pamojai ila sasa naomba niongelee hisa haswa za CRDB Bank, NMB NICOL, TCC na DSE zenyewe.
Hii kasi ya upandaji wa soko la hisa zikiwepo hizo...
Kusema ukweli mimi napenda kubet zaidi na nimependzi wa kubet magoli.
Vile vile mimi Nani is hisa, ila hisa ndo ilianza kitambo kabla ya kubet ila kubet napenda sana kuliko kununua hisa.
Shida inakujua ukimwambia mtu una bet anaona unafanya jambo la ajabu yaan anakushangaa kwanini una bet ila...
Kuna watu wanasema mtu asubiri hisa ishuke kwanza ndio anunue mfano kama hisa ya CRDB ikiwa 1500 mtu anasema ngoja ishuke tena iwe chini ya 1000 ndio anunue , swali la kujiuliza je isiposhuka tena hatanunua? na je ikiendelea kupanda ikafika 5000 wakati wewe unasubiri iwe buku ?
Ushauri wewe...
Habar wakuu
Nimekuja kwenu nina akiba hapa ya Milioni 40
Nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoefu wa uwekezaji mpo
Nishaurini kati ya kununua hisa CRDB, NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina...
Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini ma-speculators walikimbia.
Sasa mwenendo wa CRDB huko DSE unawapa watu tumbo joto, na licha ya...
Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually.
Sasa swali linakuja...
Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika.
Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake?
Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile?
Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
Moja ya swali muhimu la kujiuliza ni: “Nawezaje kuchagua kampuni bora ya kuwekeza?”
Leo tuzungumzie qualitative fundamental factors ambazo ni muhimu sana kwa wawekezaji wa muda mrefu wanaotaka kupata ongezeko la thamani na pia magawio.
Elewa Biashara ya Kampuni
Wekeza tu pale unapofahamu...
Mkombozi Commercial Bank Plc ndio Kampuni iliyoongoza Kwa Ongezeko kubwa la Thamani pale Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) kuanzia Januari hadi Agosti. Hii ndio 10 Bora ya Kampuni zilizofanya Vizuri zaidi kwenye Ongezeko la Thamani (Capital Gain
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)
👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?”
📌 Jinsi ya kuipata ROE...
Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?
Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
🔎 Unapowekeza kwenye hisa za benki, kuna vipengele vingi vya kuzingatia. Lakini kwa mwekezaji makini, kuna ratio mbili muhimu zinazopima ubora wa biashara ya benki:
1️⃣ NPL – Non Performing Loans (Mikopo Chechefu)
Hii hupima ubora wa mikopo inayotolewa na benki. Kadri kiwango kinavyokuwa chini...
Sekta ya Bank inazidi kukua.
Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
Wakuu,
Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya kitabuni so ni risk kwa Wawekezaji wapya.
Pia, kumbuka ni kipindi cha uchaguzi hiki external investors...
I will be short
kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card.
Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida.
anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.