Nina 40M ninunue hisa CRDB, NMB au niwekeze UTT?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,909
Reaction score
4,689
Habar wakuu

Nimekuja kwenu nina akiba hapa ya Milioni 40

Nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoefu wa uwekezaji mpo

Nishaurini kati ya kununua hisa CRDB, NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo

Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
 
Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,

Kuna ETF ya itrust , nunua hizo
 
Ikoje hiyo etf fafanua
ETF ni nini?

ETF (Exchange Traded Fund) ni mfuko wa uwekezaji unaokusanya kampuni nyingi ndani ya bidhaa moja, na unauzwa kwenye soko la hisa kama hisa ya kawaida.

Ukinunua “unit” moja, unamiliki sehemu ya kampuni zote zilizo ndani ya huo mfuko.

iTrust EAC Large Cap ETF – IPO

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMSA) imeidhinisha iTrust EAC Large Cap ETF,
ETF ya kwanza ya kikanda Afrika Mashariki.

Mambo ya Muhimu:
1. Kiasi cha Mauzo: TZS Bilioni 10
2. Bei kwa Kila Uniti: TZS 1,000
3. Uwekezaji wa Chini: Uniti 100 (TZS 100,000)
4. Inawekeza Kwenye Nini: Makampuni makubwa (large-cap) ya Afrika Mashariki.
5. Itauzwa Wapi: DSE – unaweza kununua na kuuza wakati wowote
6. Muda wa Kujisajili: 17 Nov – 12 Des 2025

Makampuni Yaliyopo Ndani ya ETF (Bila Uzito/Weight)

Kenya
1. Safaricom
2. KCB Bank
3. Jubilee Holdings
4. Equity Bank
5. BAT Kenya

Tanzania
1. NMB Bank
2. TCC (Tobacco)
3. Vodacom Tanzania
4. TPCC (Twiga Cement)
5. Tanga Cement
6. CRDB Bank

Uganda
1. MTN Uganda
2. Stanbic Bank Uganda

Rwanda
1. Bank of Kigali

Kwa Nini Hii ETF ni Muhimu?

Lengo ni kukupa njia rahisi, salama, na yenye utawanyiko mpana (diversification) ya kuwekeza kwenye makampuni makubwa ya Afrika Mashariki kupitia bidhaa moja tu (ETF).
 
Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Nchi iko paralysed mkuu tulia
 
Nunua bond za B.O.T za mda mrefu za kuazia miaka 10 kwenda mbele au ukishibdwa apo weka UTT kwenye mfuko wa hatifungani ila kwa ushauri wa harakaraka ukiwa kwenye hizo process nenda haraka sana hizo Hela kafungue account ya Dola uzibadilishe ziwe kwenye Dola NMB wanaaza na Dola 150 tu
 
ETF ni nini?

ETF
(Exchange Traded Fund) ni mfuko wa uwekezaji unaokusanya kampuni nyingi ndani ya bidhaa moja, na unauzwa kwenye soko la hisa kama hisa ya kawaida.

Ukinunua “unit” moja, unamiliki sehemu ya kampuni zote zilizo ndani ya huo mfuko.

iTrust EAC Large Cap ETF – IPO

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMSA) imeidhinisha iTrust EAC Large Cap ETF,
ETF ya kwanza ya kikanda Afrika Mashariki.

Mambo ya Muhimu:
1. Kiasi cha Mauzo: TZS Bilioni 10
2. Bei kwa Kila Uniti: TZS 1,000
3. Uwekezaji wa Chini: Uniti 100 (TZS 100,000)
4. Inawekeza Kwenye Nini: Makampuni makubwa (large-cap) ya Afrika Mashariki.
5. Itauzwa Wapi: DSE – unaweza kununua na kuuza wakati wowote
6. Muda wa Kujisajili: 17 Nov – 12 Des 2025

Makampuni Yaliyopo Ndani ya ETF (Bila Uzito/Weight)

Kenya

1. Safaricom
2. KCB Bank
3. Jubilee Holdings
4. Equity Bank
5. BAT Kenya

Tanzania
1. NMB Bank
2. TCC (Tobacco)
3. Vodacom Tanzania
4. TPCC (Twiga Cement)
5. Tanga Cement
6. CRDB Bank

Uganda
1. MTN Uganda
2. Stanbic Bank Uganda

Rwanda
1. Bank of Kigali

Kwa Nini Hii ETF ni Muhimu?

Lengo ni kukupa njia rahisi, salama, na yenye utawanyiko mpana (diversification) ya kuwekeza kwenye makampuni makubwa ya Afrika Mashariki kupitia bidhaa moja tu (ETF).
Hii mzee itakuwa available Pini kununua DSE
 
Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Dogo subiri kwanza, au haupo Tanzania na hujui kinachoendelea mpaka sasa?
 
Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Fanyia biashara
 
Mkuu peleka hela zako nje ya nchi wazee wa makombolelo wanaenda kuangusha uchumi ili tuanze upyaaaa
 
Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Nachokushauri mimi ni kutumia ich kiasi kutanua biashara yako. Niambia Unafanya biashara nikupe mbinu ya kuitanua iliikuongezee kipato zaidi ya utakacho pata ukipeleka UTT and the like.
 
Back
Top Bottom