hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

    Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂 km Nina vitu vya week bc sitoki ndani iyo week yote Sina rafiki biashara zangu nazikagua mwisho wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii Sauti inayosambaa Mitandaoni ya Kiongozi wa Yanga SC kumwambia Kipa wa Tabora United aachie Leo TAKUKURU hawajaisikia au nao wameshanunuliwa?

    Ni Aibu kubwa mno na ni Kashfa pia katika Soka la Tanzania. TAKUKURU (PCCB) mmenunuliwa nao au nanyi mnaaogopa?
  3. JamiiForums Tanzania Gaidi aliye kubuhu Hassan Badir ameangamizwa leo hii huko Beirut-Lebanon

    Ameangamizwa: Hassan Badir, anayejulikana pia kama Haj Rabia, mwanachama wa Hezbollah anayehusika na ushirikiano kati ya IRGC ya Iran na mashirika mengine ya kigaidi ya Palestina dhidi ya Israeli. Alilengwa katika shambulio la bomu huko Beirut asubuhi ya leo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa SERIKALI ambaye take home yako ni Tsh 450k , Tsh 500k na kuendelea , SIKIA HII

    WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59. Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

    Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT?? Na hili ndilo jibu lake. Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit. FAIDA FUND. UTT Anyway:- Tuendelee kutafuta hela #YANGA_BINGWA #YNWA
  6. JamiiForums Tanzania 18+ : Nimeshangaa sana. Hii mpya kwangu... Hivi ni tamu kiasi hicho?

    Nimekaa na huyu dada muda mrefu toka asubuhi. Tunapiga stories n.k akasema anajisikia baridi.nikamwambia basi nizime AC akasema hapana nimkumbatie. NIkamkumbatia.basi akaanza kama kulalamika kama mtu anayesikia maumivu kwa ndani anajinyonga nyonga....akanichukua mkono....kuupeleka sehemu zake...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  8. JamiiForums Tanzania CRISPR-Cas9: Je, Teknolojia hii Inaweza Kuondoa Magonjwa ya Kurithi kabisa?"

    Leo nilikuwa napitia tovuti ya The New England Journal of Medicine, na nikakutana na taarifa muhimu iliyotolewa mwaka 2020 kuhusu utafiti wa CRISPR-Cas9. Ripoti hiyo inaelezea jinsi wagonjwa wawili waliopokea matibabu kwa kutumia CRISPR-Cas9 walivyoonesha matokeo mazuri. Kwa wale ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kauli "unataka serikali ikuletee maendeleo mlangoni kwako?" Ni kauli ya kibinafsi na kifedhuri.

    Mara nyingi ukihoji kuhusu utendaji kazi wa serikali huwa wanatokea wazarendo uchwara na wapigaji wakubwa, utasikia anakuambia "unataka serikali ikuletee maendeleo mlangoni kwako?" Wengi wao ukiwatizama huwa ni watu ambao huwa wamegawanyika kwenye makundi mawili, kundi la kwanza ni watu flani...
  10. JamiiForums Tanzania Tuungane tuipinge siku hii April Prank fool day

    Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile. Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa. Kuna mjadala kuhusu uhusiano kati ya tarehe 1 Aprili na ujinga katika kazi ya Geoffrey Chaucer, The Canterbury Tales (1392)...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi walikwama kuitambua hii nguvu ni ya nani waakamua kuibatiza nguvu ya mvutano (gravitational) lakini si kweli

    Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali mengi kuhusu nguvu ya mvutano (gravitational) Utafti wangu unaniambia popote ukiona msomi kaweka...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

    Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya. Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? nashindwa kujielewa aisee

    Kwema? Mimi nikinywa pombe nakuwa active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakuwa ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakuwa tuu na uwezo wa kawaida.
  14. JamiiForums Tanzania Anayepaswa kulinda amani ya nchi hii ni CHADEMA pekee?

    Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi. Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
  15. JamiiForums Tanzania Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

    Habari za usiku. nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55 Sijawahi kumfumania Sijawahi kumuona kero Ushauri wenu
  16. JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli ndiyo maana CCM huwa wanaiba

    Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma. Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake. Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
  17. JamiiForums Tanzania Hii siyo Fair kabisa.......!!

    Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
  18. JamiiForums Tanzania Hii hapa Orodha ya Wachezaji 15 Wenye Majina Magumu zaidi Duniani

    Baadhi ya majina hayo ni kama 1. Sokratis Papastathopoulos (Greece) 2. Jakub Błaszczykowski: (Poland) 3. Grzegorz Krychowiak: (Poland) 4. Wojciech Szczęsny: (Poland) 5. Yevhen Olehovych Konoplyanka: (Ukraine) 6. Jakub Wawrzyniak: (Poland) 7. Panagiotis Tachtsidis: (Greece) 8. Hakan Çalhanoglu...
  19. JamiiForums Tanzania Al Masry kwenye michezo mitano iliyopita kashinda mechi moja tu, Simba hii anavuka

    Eid Mubarak watanzania wote. Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika, Al Masry wameshinda mchezo mmoja tu, huku wakifungwa mechi moja na kudroo mechi tatu. Katika mechi hizo tano amefungwa goli 7 na kufunga goli 7. Hii inatoa taswira kwamba, Simba...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka muda hii hakijaeleweka tu? Idd ni lini?

    Wakuu mwenye taarifa rasmi kutoka BAKWATA kama mwezi umeonekana ama la. Wengine hatutaki ugomvi na mabos wetu kesho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…