hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mliofanya biashara ya vifaa vya umeme ? Nipeni DO na DONT za hii biashara

    Najua wengi mmeshafanya hii biashara. Nipeni masharti Nipeni faida Nipeni basara za hii biashara
  2. JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nchi hii ni mwanachama wa CCM na inalazimisha raia wote tuwe CCM wale wanaokaidi wanakuwa maadui wa serikali

    CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama Nimepata pia...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na hali kama hii wewe kama mtafutaji?

    Kuna kitu kinaitwa UPEPO wa MTU au UPEPO wako. Katika utafutaji kuna nyakati humfikia MTU na baada ya hapo kila anachofanya kinakubali yaani hakuna kukwama kwama wala kukwamishwa. Wengine hizi nyakati huziita nyakati bora za maisha. Waswahili wao husema 'huu ni upepo wangu" Walokole na watu...
  5. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  6. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

    Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/ Hizo hela siyo ishu, Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye, Utaratibu mbovu kupita...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  8. JamiiForums Tanzania Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya kuua mbu wote katika mazingira yako

    Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu: 1. Maji yaliyotuama Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu. 2. Taka zilizochakaa Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ipo serious

    Siku nikipata access ya kushika mguu wa kuku.. Nitaondoka na kaki kadhaa.. Kama yule father of salander bridge Sina cha kupoteza.
  11. JamiiForums Tanzania PCB Hii Si Ya Watoto, Ila Naweza Kukubadilisha Uwe Beast! Njoo Nikulazie Kitabu!

    Kama wewe ni msee wa PCB (Physics, Chemistry, Biology) au unayo mtoto anakamua advance na anazidiwa na hizi topics ngumu– basi stop struggling alone, coz I'm the plug you’ve been looking for! Mimi si mwalimu wa kawaida – niko street smart na book smart all in one. Najua hizi topics hazicheki na...
  12. JamiiForums Tanzania Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  13. JamiiForums Tanzania Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  14. JamiiForums Tanzania Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

    Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
  15. JamiiForums Tanzania Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau

    Kuna vitu huwa havichezewi Uumbaji wa Mwenyezi Mungu Ardhi Damu ni kimiminika chenye nguvu sana na hubeba uhai hata ikiwa imekauka kau! Damu zinatofautiana nguvu.. Kina damu kali na kina damu dhaifu Kina damu yenye kusamahe lakini kina damu yenye malipizi... Na kuna damu yenye maagano na...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Israel sasa!!

    Kwa kipindi cha miaka 77 Israel imegundua na kutengeneza vifaa hivyo hapo chini kwa madhumni ya kujilinda. Don’t mess with IDF!!
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa madini hii ni ruby au?

    Namtu kanitumia jamaa yangu toka congo kabla sijaingia sokoni nijue nini macho yangu yanaona malaya garnet au rhodolite japo yeye anasema ruby
  18. JamiiForums Tanzania 1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

    Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia. 1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent." Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
  19. JamiiForums Tanzania This ain’t your regular maths – hii ni f*cking gangsta mathematics: formula mpya kali za kichawi hazijawahi kutokea Tz

    Yo, watanzania wenzangu, especially walimu wa hesabu... Let’s be real, you’ve been feeding kids the same old sht for decades. Pythagoras this, Quadratic that, kama vile hiyo crap ndio mwisho wa dunia. But guess what? Hii ni Mathematics from the fcking streets, straight outta mental ghetto...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SIKIA hii ya 370 000 hadi 500 000 kwa watumishi wa umma.

    Naamini imekuwa ni shangwe kwa watumishi husika kwa ongezeko la mshahara kwa 35% ambayo ni kutoka 370 000 hadi 500 000 ambayo ni sawa na 130 000, Kitanzania hii pesa inaweza kuwa kubwa kulingana na mahitaji yetu ya kila siku ambayo ni ya lazima(pia hutegemeana na mtu), Lakini pia inaweza kuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…