DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,363
Kuna kitu kinaitwa UPEPO wa MTU au UPEPO wako.
Katika utafutaji kuna nyakati humfikia MTU na baada ya hapo kila anachofanya kinakubali yaani hakuna kukwama kwama wala kukwamishwa.
Wengine hizi nyakati huziita nyakati bora za maisha.
Waswahili wao husema 'huu ni upepo wangu"
Walokole na watu wa dini husema wakati wa MUNGU .
Na wasioelewa mambo husema jamaa anatumia kizizi, Freemason ,ndele n.k.
Ila jibu linabaki lile lile kuwa ni wakati wako umefika au upo katika UPEPO wako.
Na wakati wako bora huwa unapotokea hautokani na kuomba Sana au kufanya Sana ibada au kupewa favor n.k.
Nyakati hizo ndo zile nyakati ukiwa unafanya Biashara basi unauza bila promo kubwa unauza kwa faida uku ukigombamiwa na wateja.
Ukiwa umeajiriwa basi promotion utapata wewe, safari za kikazi nzuri zenye maslahi utapewa wewe MTU wa- kuzingatiwa utakuwa wewe n.k.
Na Ukiwa upo shambani utavuna Sana kila kilimo unachofanya kitakubali n.k.
Ukiwa unacheza mpira utaimbwa wewe utaanza first eleven wewe kama ni mfungaji basi utafunga wewe n.k
Ukiwa msaniii utapewa promo za kila Aina na radio , uta-trend mitandaoni n.k
Endapo ukifika wakati wa UPEPO wako au wakati wako usisahau haya mambo.
-kuwekeza hasa katika Assets
-kuwa na multiple streams of income
-kutengeneza network , hapa jiepushe na fake friends ,chawa au Wapambe .
-Na kumbuka kutoa support either ndogo au ya kati au kubwa kwa familia yako ilimradi isikuathiri in negative .
Baada ya hapo Kama anavyosema mdau mmoja wa JamiiAfrica kuwa 'Wakati siku zote sio milele'
Huo upepo wako huwa una kawaida ya kuvuma kwako kwa muda na kisha kwenda kuvuma kwa MTU mwingine ikiwa unaona PESA haipo kwako fahamu tu ipo kwa MTU mwingine.
ila Mara nyingi UPEPO ukikata wa PESA, umaarufu n.k
jiepushe na haya mambo
Usikimbilie kwa Mganga
Usikimbilie kwa Shekh au Mchungaji bali ongea na Mungu wako.
Kwakuwa hakuna maombi ya kuurudisha UPEPO wako uliokuvumia Sana wa PESA ,umaarufu. deals kubwa n.k.
Zaidi unabidi ushukuru na ufurahie yale mambo yote mazuri ulliyoyafanya kipindi upo vizuri kiuchumi .
Tafakuri hii nimeipata baada ya kuona WATU wanafika hatua ya kuwa wateja wa waganga wa kienyeji na kuhama makanisa na kujifukiza Udi ,ubani na Uvumba.
Jibu ni kuwa you can't fight against nature you will sink in endless sadness.
Universe/nature - huwa ina tabia ya kuawainua watu na ikimaliza kukuinua wewe inaenda kumuinua MTU mwingine. So usitafute mchawi when you see things are no longer work out.
the power of not giving up is real keep striving.
Ukiwa katika Peak ya mafanikio or anything good just use it wisely b'coz nothing last in this life except life its self.