hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio JF ilipofikia 2025, wanaume kuambiwa wavae sketi.

  2. H

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu/wasomi ni wajinga mno katika nchi hii ya Tanzania

    Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini?? Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa aina hii watakuchelewesha kimaisha bro amka

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi tunapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  5. JamiiForums Tanzania Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

    Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule. Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na kuondoka bila kumdhuru
  6. JamiiForums Tanzania JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  7. JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  9. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  10. JamiiForums Tanzania Hii fomu ya kujisajili na CCM mbona kama inasomana na NIDA?

    Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
  11. JamiiForums Tanzania Doroth Gwajima hagombei safari hii ?

    Wakuu nimejaribu kuangalia jina la DR Doroth Gwajima sijaliona au safarii hahombei
  12. JamiiForums Tanzania Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

  13. JamiiForums Tanzania Hii imetokea kijijin kwetu kabisaa maisha magumu sanaa

  14. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna Chama cha upinzani na hakijawahi kuwepo, mkija kuelewa hii mtakuwa mshapoteza muda sana.

    Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo. Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  16. JamiiForums Tanzania Mmeona video ya Mtanzania muuza karanga akifanyiwa unyasasaji nchini Kenya? SASA HII IMEKUWA TOO MUCH!

    Inasikitisha sana ni namna gani siasa zinaweza kutenganisha watu
  17. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli kuhusu Kigoma!?

    Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi. Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini. Je kuna ukweli gani...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  20. JamiiForums Tanzania CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…