hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  3. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  4. JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio hii hapa

    Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote. (Picha kutoka mtandaoni Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe ni nani! Ngumi zinaanza bahati mbaya unapigwa konde moja la uso🥺 Unajijuta umehamaki hasira, jazba na...
  5. JamiiForums Tanzania Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu hii gari inatoboa au editing za vijana

    Nimeikota hii post huko mitandaoni
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawakufanikiwa kuiona interview ya Dogo pattern ni hii hapa

    Hii nimeileta kwa sababu nilikuwa na kiu ya kuona nini kilitokea hadi tunaambiwa Dogo pattern kavirugana na watangazaji. Pia ninaamini kuna watu wanakiu ya kuona ilivyotokea hata kwa uchache. https://www.facebook.com/share/r/16ooKMPNe5/
  8. JamiiForums Tanzania Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

    Oktober imesimama! Oktoba ya Mama! Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

    Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia. Jazba mihemko...
  10. JamiiForums Tanzania CCM ikifa, tutazika au tutasafirisha?? Kila baada ya miaka 10 CCM hujihuisha kwa kupata dam mpya kwenye circulation ila miaka hii 10 ya sasa vipi?

    Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha. Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CV ya elimu ya Polepole hii hapa chini.

  12. JamiiForums Tanzania Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  13. JamiiForums Tanzania Don't Look Up; Umeangalia hii movie?

  14. JamiiForums Tanzania Ni Siasa za kiwendawazimu karne hii kuruhusu Mgombea Uraisi kuwa Mkubwa kuliko Chama chake Cha Siasa

    GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama chake. Lazima wawepo wakubwa wake wa kumwambia bila uoga hapa bwana umekosea na pengine kumtoa kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa ninavyokujua GB 64 hapo Karume kabla ya hii Press yako yenye Ukweli mahala fulani ulianza kwanza kupiga kile Kitu chako cha hapo Shaurimoyo

    GB 64 Sisi Masela Wenzako tumeshabadilika na Kukua sasa mbona Wewe bado tu Usela uko damuni? Nimecheka sana japo umesema Ukweli!!!
  16. JamiiForums Tanzania Hii Hapa Link ya Polepole Conference

    Nimekutana nayo mahali ila sijajua iko genuine kiasi gani, naona network kwangu iko chinii sana sana https://us06web.zoom.us/j/6818807495?pwd=Eu5qlqorqlOEchz9zkqEhjKW7GsbHv.1&omn=81835714199...
  17. JamiiForums Tanzania Chuma bado nyeupe hii, inatakiwa ishindiliwe zaidi.

    Oi bongo dasalama
  18. JamiiForums Tanzania Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

    Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi.. Nimeosha sana na Steel wire Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
  19. JamiiForums Tanzania Dira ya taifa moja wapo ni hii

    Kweli kufika 2050 kama tutakuwa nao hawa majoyce wowote tutarajie vituko.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…