hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama hutoki familia ya mwanasiasa au matajiri wa nchi hii fanya mambo mengine

    Wazee hata kipofu wameona na viziwi wamesikia kilichotokea kwenye uteuzi wa haya majina ya wagombea ubunge. Nimepitia list nzima ya majina kiukweli wamejaa watoto wa waliokuwa viongozi kwenye awamu zilizopita na hata watoto wa viongozi wa sasa. Pia hata nikizaliwa mara ya pili sitaamini kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Million 8 nifanye biashara ya nafaka kwa njia ipi? Njia ninayowaza ni hii

    Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma. Idea nilikua nayo kama 3. 1.phone accecories Huku charge wanauza 8000, protector 5000, n.k bei zipo juu kweli kweli, niliwaza kufanya hii...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo huko Dodoma, Ipe maneno picha hii

    Dakika za Jioni........ Kwa pozi hili unadhani nini kinaendelea katika ubongo wake kwa sasa?
  5. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na usijenge aina hii ya fence nyumbani kwako

    Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nyie machalii wa Rachuga mnafamu mkoa wenu umepokea TZS3.5Trilioni ila mjue hiyo pesa ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi

    Mkoa wa Arusha umepokea TZS3.5Trilioni pesa ambayo ni karibu sawa na bajeti nzima ya nchi ya Burundi ambayo haizidi TZS5Trilioni. Rais Samia ametoa kiasi cha fedha cha TZS3.5Trilioni ambazo hata hivyo zilitumika ili kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye sekta mbalimbali kama...
  7. JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Hii ni Nini au magendo

    Jaamaa kanikodi picha linanaza jamaa ametoa laki sita, Haya Pale kivukoni polisi wote wanampa ushirikiano mpaka naogopa.. Hii ni Nini jamani au mafuta ya watu
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndo maana halisi ya Mitano tena🤣🤣🤣

    Hii ndo maana halisi ya Mitano tema.. Samia Suluhu Hassan tunaye natunatambba naye 2025-2030 Born in KIZIMKAZI Kuitawala Tanganyika🤣🤣🤣
  10. JamiiForums Tanzania CCM wanafanya nini hiki miaka hii ya 2025?

    Picha utafikiri za miaka ya 1914 kwenye Vita kuu ya dunia Picha utafikiri wanamlika samaki kwenye maji? CCM wanashindwa kabisa kuweka technology nzuri Hizi aibu kwa nchi mpaka lini ? Hawajui tupo duniani na dunia inafatilia haya maigizo yao? Ndio maana wakenya wanatucheka tu na kuhaki system...
  11. JamiiForums Tanzania Ambae upo interested na kilimo cha bustani.. fursa hii

    Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo.. Wewe njoo na mpira wake tu Location: Kimara mwisho, karibu na shule ya msingi mavurunza, bonde la...
  12. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchanganuo wa kupaua hii nyumba

    Ramani
  14. JamiiForums Tanzania Hii pressing ya TRA Kudai Kodi sijawahi kuiona

    Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia. Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha niya msanii gani ?

    Nani anamjua huyu ? Naamini kila kitu kina tafsiri yake.. 1. Kwanini Profile hiyo ? 2. Kwanini Username hiyo ? Nielezee yangu ?
  17. JamiiForums Tanzania Watu mnaokaa Dar es salaam, je Hii gereji bado ipo?

    Namaanisha gereji ambayo Ray c aliitolea Video ya wimbo wake wa Sogea sogea. Moja kati ya video bora kwangu ya muda wote. https://youtu.be/Y-syuomKwdk?si=3aZ6f8Zi5JjWAXrG
  18. JamiiForums Tanzania Mitandao hii hii ambayo mnaichukia na kuifungia na kuipunguzia speed halafu mnataka kupata na kodi humo humo.

    Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
  19. JamiiForums Tanzania Nina mda mrefu sana na bitcoin, leo hii inauzwa mil 300 kwa btc 1

    nkiangalia nyuma naona kama nlichelewa sana ila nakumbuka nlivochapwa sana 🤣
  20. JamiiForums Tanzania katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…