Hii dawa ni nouma sana inzi, mende, kunguni , mbuu na n.k ukipulizia ndani hutoona mdudu yeyote akikatiza.
Lkn pia nyoka hatoboi kwenye hii dawa hawezi kuingia ndani akisikia hii dawa akijaribu kuingia kwa kuforce akigusa tu anakwenda na maji
Inaitwa canye 😁😁😁