hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

    Inavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika. Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Hii faulo ya Djuma Shabban ni Red Card (Lefa kapeta)

    Imeniuma sana tena sana. Mchezaji professional kama Djuma anacheza mchezo wa akina Ninja. Michezo ya kishamba ni ya kukemea katika soka la waungwana. Yaani Football umegeuka uwanja wa ndondi. Halafu refa kapeta tu. Huu uhuni hautakiwi kufumbiwa macho.
  3. JamiiForums Tanzania Ukitoka mshahara tushituane haraka. Sio kwa Januari hii

    Hello! Leo bila shaka mshahara kwa watumishi wa umma utaingizwa kwenye akaunti zao. Sasa sisi wa CRDB mzigo unachelewa kidogo, basi nyie wa NMB mkiuona mnishtue haraka ili nivae suti yangu nikachukue nijipongeze.
  4. JamiiForums Tanzania Bado unaamini hii kesi ni ya Ugaidi?

    Hivi ili kesi iwe ya kigaidi inatakiwa kuwepo na vitu gani ili mahakama ikutie hatiani? Mbona kila ushahidi hueleweki? KULIPUA VITUO VYA MAFUTA Sasa mbona Polisi au mashahidi wa Serikali wenyewe wanakiri kua hawakuwahi kuwakuta watuhumiwa na vilipuzi vyovyote yaani hata kiberiti? Hapo bado...
  5. JamiiForums Tanzania TCRA Naomba fuatilieni hii kitu hawa watu wanatapeli watu sana

    Leo nimetumiwa message kutoka kwenye namba +255733326905 kuwa nimeshinda Biko ya milioni 5 waliniona mimi ni zuzu wa kuona milioni tano nitahaha. Wakanipa maelekezo nipige kwenye namba hii 0719254427 Nawaomba cyber polisi na TCRA fuatelieni nyendo za hizi namba mishowe mtamkamata huyu mtu. +
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu hii program ya Continuous Professional Development (CPD) ya 2020

    Habarini wakuu, poleni na majukumu, kwenye pita pita zangu nimeona hii program na na kupitia guidelines zake. Wenye uelewa naombeni mtueleweshe kwenye ; azimio lake, manufaa kwa jamii na watumishi kwa ujumla. Sisi watumishi wapya wa afya. Maana naona kuna points lazima uwe nazo ilikufanikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni Tafsiri ya ndoto hii

    Hivi majuzi nimeota ndoto ambayo bado inanisumbua sana. Hii ndoto ilikuwa inamhusu mwendazake Rais Magufuri. Niliota ilikuwa siku ya uzinduzi wa reli ya Chini kwa Chini au unaweza kuziita treni za kutumia umeme. Hivyo na Mimi nikaenda kwenye ufunguzi wa reli hiyo pamoja na wananchi wengi. Kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zamani jina la Mgombea kiti cha Uspika lilikuwa mjadala kusubiri Moshi mweupe, Leo hii hata CCM hawataki kujadili kama agenda wamemwachia Mwenyekiti

    Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti. Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote. Spika...
  9. JamiiForums Tanzania Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

    Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri. Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu Kiranga, nimekutana na hii mitandaoni huko

    Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na Walevi wengi."Kwa hali hii Maendeleo ni ndoto"

    Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi. Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi. Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe chama kubwa linavyojua kujipanga hii ilikuwa 2002

  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna Mall Kubwa itajengwa Darajani Unguja - Zanzibar?

    Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani. Nilinasa picha hizi kwa mbali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  15. JamiiForums Tanzania Ujue mmea wa maajabu Comfrey

    MMEA WA AJABU – COMFREY Comfrey ni mmea uishio miaka mingi. Una umuhimu kama mboga zenye afya kwa familia, pia malisho bora kwa wanyama wengi. Majani ya mmea huu huweza kutengenezwa mbolea kwa ajili ya bustani. Pia mmea huu hutumika kwa tiba mbalimbali kwa binadamu. Comfrey ni mmea...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  17. JamiiForums Tanzania Endapo itathibitishwa Kuungua soko la Kariakoo na sasa Karume ni mpango, wanaopanga mipango hii ni Magaidi?

    Tuendelee kutiririka, huku tukijikumbusha kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi soka inayochezwa Ulaya na hii ya kwetu ni mchezo mmoja au inafanana tu?

    Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni michezo miwili inayofanana tu, kama ilivyo soccer ya ufukweni nk. Mbona hawa wa kwetu wote wanakimbilia...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Amos Makalla ana mkosi au kuna nini? Mbona masoko yanaungua sana?

    Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna? Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
  20. JamiiForums Tanzania Haya 'Wachezaji' wa Coastal Union FC 'fungweni' leo na Yanga SC muikose hii Zawadi (Bingo) na muwe 'Masikini' mpaka 'Kufa' Kwenu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima (mwana Simba SC Mwemzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 20 wakiifunga Yanga SC leo. Mbunge wa Tanga na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Oddo (mwana Simba SC Mwenzangu) kawaahidi Wachezaji wa Coastal Union FC Tsh Milioni 10 wakiifunga Yanga SC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…