hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Kwa hii Ada ya Udaktari, watoto wa Masikini watatimiza ndoto zao kweli?

    Kwema Wakuu! Huwaga najiuliza ikiwa Ada ya kusomea Udaktari kwa mwaka ni zaidi ya Milioni Sita bila ya mkopo. Ukipewa Mkopo 100% yadaiwa Serikali itakulipia nusu yaani sio zaidi ya milioni tatu. Inamaana mwanafunzi atalipa sio pungufu ya Tsh. Milioni 3. Kwa miaka mifano hiyo ni zaidi ya Tsh...
  2. JamiiForums Tanzania Ni hivi wanawake wanaliwa kimasihara kwa sababu hii

    Wakuu ndugu zangu Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi. Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa alaf wajisemea akiwa anakusikia aisee nusu kiti kiunguwe inalekea nanii ako ni so hot, akicheka cheka...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu hii ni software gani (logo designing)

    nashindwa kuelewa hii interfere Ni ya software gani
  4. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza kuvaa viatu vya aina hii?

    Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
  6. JamiiForums Tanzania Hii kazi ya kuwaongoza Watu wa Tanzania ni ngumu Sana hivyo Mama anaangushiwa Jumba bovu

    Ukiachana na watz 80/90% kutokuwa na Elimu ya uraia na hawajui Nini maana ya nchi . Bado asilimia chache ya watanzania waliobaki ni wabishi wajuaji waongo waongo, wezi nk Mfano swala la tozo za bank huwezi kuona watz wakiungana kupinga Jambo hili hadharani. Lakini walipomfungia Haji Manara...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ebu wambie Mawaziri Makamba, Nape, Mwigulu na Dotto ya kuwa wao ni Mawaziri sio Marais watarajiwa. Hii misafara hawana hadhi hiyo

    Kwanza nianze kwa kupongeza Wakurugenzi na watendaji wa mtandao pendwa wa JamiiForums. Pili naomba nikili yawazi yakuwa maboresho yaliyofanywa na JF Kuna wanaJF wengi tumekuwa nje ya nje ya online off, kkwa sababu ya maboresho haya. Niende kwenye mada, hivi majuzi Mimi nilikuwa,miongoni mwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  10. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya, Watanzania wengi wamekuwa masikini zaidi awamu hii ya sita

    Ukweli tuuseme tu, jahazi limeanza kumshinda mama. Sio kwa ugumu wa maisha huu! Yaani Watanzania wanatozwa tozo ambazo hata mkoloni na roho yake mbaya asingethubutu kuwatendea namna hiyo. Wengi wetu vipato vyetu ni vilevile, lakini gharama za maisha zimepata mara dufu! Kwa lugha rahisi...
  11. JamiiForums Tanzania Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Kurejeshea watu anga ya buluu, mawingu meupe na nyota zinazometa

    INTRO: Takriban kilomita 180 mashariki mwa Beijing, mji mkuu wa China, kuna mji unaoitwa Tangshan, ambao ni mji mkubwa zaidi wa chuma katika Mkoa wa Hebei, unaochangia takriban moja ya nane ya uzalishaji wa chuma nchini China. Zamani Tangshan ilikuwa mojawapo ya miji yenye uchafuzi mkubwa zaidi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Mabadiliko katika Mto Manjano na Mto Yangtze ya China katika muongo mmoja uliopita kwa mtazamo wa setilai

    INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa ukifanya kazi ya "ziada" katika masuala ya kuleta mazingira ya kijani, kurejesha ikolojia na kurudi kwenye...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ushindi wa Ruto, Uganda yalipuka kwa shangwe, hii maana yake ni nini?

    Naomba kujuzwa wadau wenye uelewa mpana zaidi. Ugandans are Kenyans are brothers. Ruto is a Kalenjin who are relatives with the Sabiny of Uganda and these people speak the same language. Its the reason you find Kenyan and Ugandan athletes having the same names. The same way the Luos where...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igalula Venant Daudi Protas, wananchi hawapendi kupewa vitisho

    Ni ukweli mtupu kwamba wananchi ndiyo waliokuajiri. Huwezi kuwatisha na kuwakemea kwenye mikutano yako pale wanapoibuka na hoja zenye mashiko! Jibu hoja za wananchi acha kuwatishia eti utawaweka rumande! Kama huna uwezo wa kujibu hoja za wananchi usifanye mikutano, simple tu! Tunajua umeamua...
  19. JamiiForums Tanzania The Terminal List: Hii ndiyo series yangu pendwa baada ya PRISON BREAK na 24

    Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala. Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sababu Yanga Kushinda nje ya Uwanja Kama Mashabiki wa Simba wanavyolalama

    ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023, mastaa wa Yanga wameandaliwa msosi maalumu ili kuhakikisha wanatakata leo. Mbali na kuandaliwa msosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…