hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaohojiwa na Media kuhusu hii Bukoba Plane Crush ni kwanini mnaanza Kumpa Pole Rais Samia? Kwani Yeye ndiyo Kafiwa?

    Na cha Kushangaza zaidi huyo huyo ambaye Mnajipendekeza Kwake na Yeye pia kawapa ( katoa ) Pole kwa Wafiwa na Familia zao sasa nyie hizi Pole zenu Kwake zinatokana na nini? Yaani kila Kiongozi ( Boss fulani ) akipelekewa tu Microphone na Camera Kuzungumzia Ajali ya Jana Mkoani Kagera badala ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoto Kuota upo nje ya nchi tafsiri ya Ndoto hii nini

    Ndoto hii nimeiota usiku huu mida ya saa 8 sasa sababu usingiz ulikata ikabidi niingie mtandao jf kupata habari zilizojiri siku nzima ya jana. Natoa pole kwa wafiwa wote waliopoteza wapendwa wao kutokana ajali ya ndege nawaombea heri majeruhi wote Mungu awaponye warudi kwenye majukumu yao...
  6. JamiiForums Tanzania Wasioamini Mungu au uchawi wanaelezeaje hii?

    I am genuinely curious. Hii mnaelezeaje msioamini Mungu au uchawi? Kiranga Scars
  7. JamiiForums Tanzania Ninaupungufu wa kujiamini, hali hii inaishaje?

    Kama ukiniona kwa mbali tu au tukiongea kwenye simu, au ukiona picha yangu, naonekana handsome flani, kijana mwenye kujiamini na mwenye sifa kedekede, ila ukikaa na mimi dakika kadhaa tukaongea, utaniona ni mtu mshambamshamba, nisie jiamini, mwenye mambo ya kitoto na kadharka. mara nyingi...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: "Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  10. JamiiForums Tanzania Hii Champion ni ngoma kali sana, huyu dogo Kontawa anajua

    Hii ngoma ni kali kila sekta wakuu. Huyu dogo ni next big thing.
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hii Sheria ya Marubani wa Ndege na Manahodha wa Meli bado inafanyika hadi hivi leo?

    Kwamba Ndege au Meli ya Abiria ikizama Majini (Baharini na Ziwani) Rubani na Nahodha hawatakiwi Kujiokoa au Kuokolewa Kwanza hadi Abiria Wote wamalizike na kwamba ikitokea hata akafa ndani ya Maji na Ajali husika basi huyo Kitasnia na Kiuweledi anasifika kuwa alikuwa ni Shujaa wa Kiutendaji...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge Shigongo na Sanga hii Vita mnayotaka Kuipigana mmejiandaa na Nguvu ya 'Mafia' wanaowazunguka?

    Nawaoneeni sana na mno Huruma.
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu magari yanayosafirisha sigara yana ulinzi mkali tofauti na magari yanayosafirisha pombe

    Gari la sigara ni rahisi kuporwa mzigo wote maana mabox ya sigara ni mepesi, mwizi anaweza akabeba box 1 tu akaenda kuuza bei ya hasara milioni 1 na nusu tofauti na kreti ya bia ni nzito halafu inaweza kuwa elf 40 tu pakiti ya sigara = sigara 20 bunda moja lina pakiti 10 = sigara 200 box moja...
  14. JamiiForums Tanzania TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuweka status WhatsApp kwa sababu hii

    .........Kazi iendelee. Wadau mimi ni mfanyabiashara, kwenye simu yangu ya mkononi nimetunza namba takribani 300. Kati ya hizo Kuna wateja zangu, ndugu zangu, jamaa na marafiki na bila kusahau wadau wa unywaji na michepuko kadhaa. Hapo kwenye wateja zangu Kuna aina tofauti za watu. Mosi, Kuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

    Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
  17. G

    JamiiForums Tanzania Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  18. JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Tanzania watu tunaishi kama tupo vitani

    Leo kuanzia asubuhi hakuna umeme,na maji hakuna
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

    Za mida hii wakuu, Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho. Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…