hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Kuna haja serikali itafute njia mbadala ya kusafirisha viongozi maana ishakuwa adhabu kwa raia wengine hasa kwa Dar. Leo kwa watumiaji wa Pugu Road kuanzia Vingunguti mpaka Airport watakuwa mashuhuda wa hili. Barabara za Vingunguti kwenda kwa Mnyamani na ya Majumba Sita kwenda Kinyerezi zote...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  3. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  4. JamiiForums Tanzania Dhuluma inayotokana na kuaminiana: Nini kifanyike soma hii

    Dhuluma ni chanzo cha kwanza cha ugomvi na kutokuwa na maelewano kati ya watu wawili. Pia dhuluma yaweza kupelekea Hata watu kutaftana na kutaka kuondoa uhai wa mwingine. Cha hajabu kitendo cha kutaka kutoana uhai, hakimuathiri yule aliedhulumu tu. Bali kinamuathiri ata yule aliedhulumiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

    Unjani sabuwona Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao. Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Dashboard ya gari inaandika "Change Engine"

  7. JamiiForums Tanzania Unaona nini kwenye hii picha?

    wazee wa VAR😂😂😅😅
  8. JamiiForums Tanzania Madhara ya uchumba wa muda mrefu kupita kiasi

    1. Uchumba wa mda mrefu Hufungua mlango wa uasherati. Uchumba wa mda mrefu kupita kiasi hufungua mlango wa dhambi ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kati yenu, kwasababu mtakuwa mmetumia muda mwingi mrefu kuwa pamoja na kujihalalishia uhalali wa kushiriki tendo la ndoa kwa kujiona tayari...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Ureno hii, hakika Morocco mwendo ameshaumaliza

    Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu. Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!
  10. JamiiForums Tanzania Hili jambo la mabehewa liundiwe tume

    Kiukweli, kwa wale walioishi Ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa Kigwangalla na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike. Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for...
  11. JamiiForums Tanzania Tatua hii hesabu

    Solve hii hesabu
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Kagame ni mhaini wa EAC, hafai hata kwa kurumangia

    🚩 “Rwandans sio maadui wetu, ni dada na kaka zetu, adui yetu ni Kagame na Serikali yake, nawaambia wanyarwanda mnahitaji msaada wetu ili muwe huru, nahitaji sasa kuwasaidieni dhidi ya mu imla Kagame" -President Felix Tshisekedi wa DRC Kipi kifuatacho? MAREKANI NAYO YATOA KAULI KWA RWANDA...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Shaka ni mpwa wa Rais Samia? Na kama ni kweli CCM mmebariki nepotism hii ndani ya chama?

    Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia. Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu. Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa Wilaya umeridhika kuona watoto wanakufa kwa kushindwa kuweka alama za pundamilia katika barabara ya Temeke-Tandika-Raha Leo?

    Uongozi mzima wa Temeke na Serikali lengo ni nini kwa hivi vifo na ajali katika hii barabara ya sehemu panaitwa Temeke-Tandika-Raha Leo? Watoto kila siku wanagongwa na magari na ajali za mara kwa mara. Je, mmeshindwa kuweka Zebra crossing au hata matuta? The entire leadership of Temeke and...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  16. JamiiForums Tanzania Geita ni Mkoa wenye dhahabu nyingi nchi nzima na hii ndio Standi yao ya Mkoa ya Mabasi

    Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya. Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro. Geita kuna laana Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na mnaowaachia kulea watoto wenu

    Habari wana jukwaa, Hii video inaeleza jinsi houseboy alivyomfanyia mtoto wa bosi wake, kwa kweli inatia kinyaa. Ningekuwa mimi ndiyo mzazi wa huyo mtoto haki ningeua mtu. "Mtoto mdogo alikuwa akimpenda sana houseboy na familia ilikuwa haielewi ni kwanini, baada ya muda mtoto akaanza kukataa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana Taasisi Nyeti kama CIA, FSB na MOSSAD Kuhongeka na kuwekwa Mfukoni mwa Matajiri. Je, hii ni kwa nchi zingine pia?

    Kuna taifa moja Duniani (kwa sasa nimelisahau) wao wameshakubali idara yao nyeti na iliyokuwa ikisifika miaka ya nyuma sasa kununulika (hasa watendaji wake baadhi ila siyo wote), kupenda na kupokea hovyo rushwa kwa tamaa ya kuwa matajiri hali ambayo inaihatarisha hiyo nchi kiusalama kwa siku...
  19. JamiiForums Tanzania Ninahitaji mwenyeji USA jimbo lolote ila Texas ni much preferable

    Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ. Nimeamua kuliweka hili humu jf...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…