hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii ni nini wanangu?

    Juzi, nilipita sehemu. Nilikuta watu wazima tena wanaojiita wenye akili na busara wakishindana kumpaka kiti moto lipstick nikashangaa. SIkkujua akili, busara na maana yake ni nini. Nilijiuliza. Kwanini wasimtafunilie mbali badala ya kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa. Nilijiuliza. Je, hii ni...
  2. Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

    Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
  3. Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  4. Contemporary and cross cutting issues, Hii Korean TV series inaweza ikawa case study.

    Affection | The King's Affection. :
  5. R

    "..Nayafakari sana Kuusiana na miungurumo hii ninayoisikia kuelekea OCTOBER 29"

    Heloo jf Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ§ Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!πŸ€” Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😀 Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🀯 Nikitafakari vita vya israeli na palestini!πŸ₯΅ Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
  6. Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

    Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari "MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI" HOJA ZAO NI HIZI πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» Kama serikali...
  7. Ni ujinga kuinasibisha hii serikali na uislam

    Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini wanaoamini kuwa serikali iliyopo madarakani ni ya dini yao, na kwamba changamoto nyingi wanazipata...
  8. Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  9. Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    I salute you kinsmen Tayari miloud kashatimuliwa Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
  10. Unakisia hii TV inaweza kuwa nch ngapi?

  11. W

    GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

    "Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema. Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru. Kumbe si...
  12. Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  13. Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

    Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii: 0x80070057
  14. M

    Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  15. Hii ndio genocide ya kwanza duniani ambapo wahanga wanasaidia kuua wahanga wenzao

    Baada ya kutungwa stori za uongo kuwa israel inasababisha genocide hapo gaza, ukweli wa mambo umejiidhirisha wenyewe kuonesha wauaji wa raia wa kweli ni wakina nani, lakini cha ajabu dunia imetulia. Hamas wanaendelea kuua wanachi wa gaza tena hadharani kwa hasira ya kushindwa vita.
  16. W

    Kuna wazee bado wana akili na uwezo wa kuchangua mambo. Hawa ndo wanahitajika kwenye nchi hii

    Mzee kauliza swali zuri sana sio mnawaambia watu mtoke mkatiki oktoba, hata tusipotiki mmeshapita maana hatujui mnashindana na nani.
  17. Sijui mwamba alifeli wapi hii vita sio mchezo

    Nimeingalia mara mbili mbili hatari sana
  18. Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
  19. M

    Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
  20. Z

    Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…