hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu. Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye wakafunga ndoa mwaka 2019 mwenzi wa 3, na mkewe alimpata na kuwa mchumba wake baada ya kuachana na...
  2. JamiiForums Tanzania INFINIX YA 1.5ml hii hapa

    Ni infinix zero ultra
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  5. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Demokrasia ya awamu ya 6; Rais Samia alalamikiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama

    SHAMBULIO kwa UHURU wa Mahakama. MAHAKAMA iachwe HURU, isiingiliwe na kupewa MAELEKEZO na serikali. RAIA wanayo HAKI ya kushinda kesi dhidi ya serikali. SIYO LAZIMA serikali kushinda kesi. Mkuu wa mkoa siyo HATIMILIKI ya ukweli.
  6. JamiiForums Tanzania Wadau, muwe mnanawa mikono kabla ya kuanza tendo

    Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana tuna nanii then life goes on. Sasa tumekula na kunywa nikawa nataka kuondoka. Aliniambia atapanda Uber...
  7. JamiiForums Tanzania Je, na wewe unakerwa sana na utumiaji wa aina hii wa whatsapp?

    Mtu unakuta ameweka masetting kibao whatsapp ambayo ukimtumia kitu ndani ya masaa 24 kinajifuta bahati mbaya yeye hakuwa online au alipo mtandao unasumbua, Mtu mwenyewe ni jobless halafu badae anakuja kukusumbua nitumie tena binafsi sisumbuki tena kutuma hata apige magoti, na imekaa kitapeli...
  8. JamiiForums Tanzania Amerika katika njia panda. Atatoboa dhoruba hii?

    Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
  9. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake Kanda ya Ziwa kuuza vitu wenza wao wakienda kutafuta maisha ni umasikini?

    Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga. Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Daniel Mgogo: Pesa sio kitu ya kumnyima mwanamke mwenye wowowo

    "Kuna mabinti wanaishi mjini hawana kazi yoyote, hawana duka, wala Saloon lakini anaishi maisha ya juu kuliko wale mabinti wanaojishughulisha kwasababu anaikuta mijanaume mizembemizembe huku mitandaoni anaiokota hela anakusanya hela za kutosha' "Yeye kila siku anaamka na ubunifu, leo kapiga...
  12. JamiiForums Tanzania Watalaamu, hii kabla au baada ya tukio?!

    Ukisema ni kabla uwe na sababu Ukisema baada uwe na sababu
  13. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni kichekesho sana, Alieongoza "VETA" ana mcheka "aliesup" University

    Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora). Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani? Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Legacy ya Magufuli na Membe hii hapa!

    Ijulikane kwamba Dikteta John Magufuli na Kachero Bernard Membe wote Sasa ni marehemu. Wote walikuwa ni wana-CCM. Wote wamehudumu kama Mawaziri chini ya Dk. Jakaya Kikwete. Wote waliutaka Urais 2015 lakini kwa isiyo bahati kwa Membe hakufanikiwa kuwa Mgombea wa chama chao, CCM. Toka 2015...
  15. JamiiForums Tanzania Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  16. JamiiForums Tanzania Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

    Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu Ushauri...
  17. JamiiForums Tanzania Je, hii ni sahihi katika dini ya Uislamu???

    Kutoka nchini Marekani Pichani ni Imam Mwanamke Amina Wadud akiswalisha kundi la Wanaume, alianza kwenye kutafsiri Qur'an hadi kuwa Imam anayesimama mbele ya mamia ya Wanaume na anaongoza Sala ya Ijumaa. 👉 I mean no malice to nobody.
  18. JamiiForums Tanzania Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naombea matokeo yabaki hivi hii timu ilinikera sana

    West ham alinipiga kimoja. Naona nae ameshapigwa naombea yabaki hivhiv ili waendelee kupumuliana. Zaidi ajitahidi draw
  20. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuweka makopo ya kukojolea ndani mmeitoa wapi?

    Kuna vitu vinanishangazaga sana umepanga nyumba lakini choo ni cha nje sawa hatujakataa, ila ndio uogope kutoka usiku na kuamua uweke kopo la kukojolea ndani? Kuna Watanzania mnaboa kwakweli sio freshi wala nini ndio maana wengi mna matatizo ya akili ustaraabu kitu cha bure mnakera bhanaa aaakhaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…