hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi kila mtu tapeli

    Weka comment nzuri inayoendana na Siasa itakayo maanisha hii picha. Mshindi namwekea bundle
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuwa Chadema ni IMANI. CHADEMA ITASHINDA. SIKILIZA CLIP HII

    Chadema ni Imani. Imejengwa kwa imani katika mioyo ya watu, including me and you!
  3. JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  4. JamiiForums Tanzania Asee hii hantavirus baada ya wiki itapita na wengi

    Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi. Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar. Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa...
  5. JamiiForums Tanzania Nimechoka kukimbizana na wanawake, ni process inayokula nishati na mentallity yangu, nifanyeje kuikamilisha hatua hii ?

    LUST ni zimwi hatari sanaa aiseee Kosa nione mdada mwenye makebo makubwa, lazima nihakikishe natafuna jagina yake. nimekula malaya na wadada wa kutosha, Nimepoteza pesa, Love triangles za kutosha, Imeathiri mahusiano yaliyo serious, Pesa zimetililka for stupid reasons aisee, Wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye Early 20's chukueni hii itawaidia sana

  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

    Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
  8. JamiiForums Tanzania Dogo kaniuliza nini tofauti kati ya WANT na NEED, nimemtumia hii picha natumaini kaelewa

    NEED👇. WANT👉 Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunalipa nauli mara mbili kutoka Tandika kwenda Pugu, hii sis awa

    Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
  10. JamiiForums Tanzania Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  11. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya mabeberu kutengeneza magonjwa Mungu anawaona. Panya kwenye meli ya kitalii wapi na wapi.

    Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO. Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
  12. JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya kikatili ya mwanafunzi wa Chuo cha IFM, James Rogers Temba, ambaye mwili wake ulikutwa ukielea kwenye maji ya Mto Msimbazi, eneo la Kipawa Ilala ukiwa hauna kichwa, Aprili 30, 2026. Polisi tayari...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kusikilizwa kwa kesinya Tundu Lisu: hii inaweza kuwa sababu?

    Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc. Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya uzalendo

    MAANA YA UZALENDO 1. Tafsiri Rahisi - Upendo na kujitoa kwa ajili ya nchi yako 2. Mambo Makuu Ya Uzalendo Kupenda nchi yako bila kujali serikali iliyopo Kuweka maslahi ya Taifa mbele ya maslahi binafsi Kutetea uhuru, mipaka na heshima ya nchi Kuheshimu bendera, wimbo wa Taifa na katiba Kulipa...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni sheria kandamizi kwa Mwanamke

    Tuangalie kwenye Kitabu cha Sahih Bukhari kipengere Kitabu cha Ndoa Hadithi ya Aisha (r.a) kuwa mtu Fulani alimwacha mkewe talaka tatu, yule mwanamke akaolewa na mwanamme mwingine ambaye vile vile alimuacha. Mtume (s.a.w) akaulizwa kama mwanamke huyu anaweza au hawezi kuolewa na mume wake wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna shujaa mmoja tu, yuko jela. Ndiye vijana wanamuamini

    Bila Tundu Lissu amani Tanzania itakuwa ndoto mnabaki kutishia tu kama kabla ya Oct 29
  17. JamiiForums Tanzania Je hili tukio ni kweli au ni Igizo Tazama hii Video

    Kiranga Infropreneur
  18. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…