hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii utaweza?

    Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
  5. JamiiForums Tanzania Xiaomi wamezindua SU7 Ultra: Hii Hyper ina 1500+ HP

    Wapenzi wa magari especially EV na hybrid. Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV. Kwa design, hii ni Sport sedan ikiwa na milango minne. Muonekano wake sio mgeni machoni mwetu, wamekua...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

    Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema. Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?
  8. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  10. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  11. JamiiForums Tanzania Kama aliyemkosoa vibaya hadi Kumtusi Trump Wiki hii Trump Kamteua kuwa Mgombea Mwenza kumbe hata Mimi Mkosoaji 2025 naweza kuwa Mgombea Mwenza wake

    JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
  12. JamiiForums Tanzania Inasemekana hii ndio ndoto ya kila mwanaume wa sasa.

  13. JamiiForums Tanzania Ushawahi kugombania demu na DJ Klabu au Baa ukashinda hii game?

    Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi hapo kumtoa inakuwaga ngumu sana sana sana ukiforce utaishia kumaliza pesa zako tu tena mkimpa bia...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari hii mpaka Odinga anaonekana ni bure kwa gen-z

    odinga alikuwa anasikilizwa sana ila inaonekana hana la maana kwa nchi ya kenya: Raila Odinga : Ruto akiachia, ndo nini? Ruto huenda akaondoka kisha Gachagua achukue jukumu la kutekeleza sera mbovu. Ruto pia anaweza kusema ' nimechoka, wacha majenerali wa kijeshi wachukue madaraka. Kisha nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii kuljuani ya Mzee Magoma noma, ilisomwa Kilwa miaka ya 1970' ilileta balaa.

    Hello! Mimi si shabiki wa mpira kivile ingawa naipenda Yanga kuliko Simba . Hakuna timu nitavutiwa mpaka nikatoa pesa yangu kununua jezi. Turudi kwa Mzee Magoma, huyu kafanya haki yake kikatiba na mtu yeyote akiona Mzee kakosea milango ya mahakama iko wazi sio kuishia kuropoka vijiweni tu. Hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kukutana na huyu Mwanamke ilikuwa mwaka 2022 mwezi wa saba leo hii ananiambia ana mimba yangu ya miezi mitano

    Wataalamu wa afya ya uzazi mliopo humu hii inawezekanaje yaani huyu mtu kanitia stress binafsi nimekataa.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

    Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
  18. JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  19. JamiiForums Tanzania Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba

    Hukumu hii ni ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hukumu inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza...
  20. JamiiForums Tanzania Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…