hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

    Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
  3. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote. Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo...
  4. JamiiForums Tanzania Ipe maneno hii picha na mshauri kamanda!

    Gazeti la Guardian leo 2/7/2024.
  5. JamiiForums Tanzania Hii bidhaa ikipatikana Tanzania itafanya mageuzi makubwa hasa kwa "RESIDENTIAL HOUSES"

    Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials" Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement NIMEWAPA WAZO BURE
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo ulivo mjinga ulitegemea Three Suitors one husbad ikupe hii kitu

    Habari ndugu zangu.
  7. JamiiForums Tanzania LATRA Watangaza route mpya wafanya biashara ya usafiri changamkieni hii fursa

    Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini 👇🏻
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'

    Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika 1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo 2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wa JamiiForums hii Mada ya Shilingi Milioni 200 kwa Mwaka inawauma na Ukiwauliza wanakuwa Wakali sana Kujibu?

    Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

    Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
  12. JamiiForums Tanzania Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

    Nimeona tangazo lake mtandaoni na nikaipenda ghafla. Mwenye kufahamu duka naweza pata huu mtambo nipe msaada. Mtambo unaitwa VR Box
  14. JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii mbichi kabisa na ya uhakika kwanini ghafla Dogo karudishwa japo Rais alikubali aache ili Rafiki yake arejee Kitini

    Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo...... 1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

    Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata. Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli...
  16. JamiiForums Tanzania Hii basketball team ya USA imekusudia Nini mbona imesheheni mastar tupu!

    Na sio team TU hadi mashabiki ni mastar maana naona kina queen latipha n.k in da house baby
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanume bikra yoyote lazima kapitia hii hali njoo tujikumbushe kidogo

    Habari wakuu na moja kwa moja niende kwenye mada kwa mwanaume yoyote ambae ndo anaanza kushiriki tendo kwa mara ya kwanza ni lazima apitie fedhea hii. Pindi anapo aanza kudumbukiza gogo kweny dimbwi ua anaskia raha kupita kiasi na haichukui dakik 1 tayl unaluta kashautupa na wenhine ni chini ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Tanzania nilidhani hii Tabia za Kishamba na ya Kijinga pia mmeiacha kumbe hadi Leo bado mnayo tu?

    Acheni kuwachagulia Watoto wenu Fani ambazo nyie mmezifanya huku hadi kuwatishia kuwa wasipofuata basi mtawavulia Nguo zenu kwa Kuwalaani. Hivi inaingia Akilini kabisa Wewe Mzazi ni Injinia na kila Siku unaona Mwanao katika Masomo ya Sayansi anatepeta / hayawezi ila kule katika mengineyo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kama hii Taarifa ya Kufungiwa kwa Tapeli Kiboko ya Wachawi ni kweli kwanini na Matapeli wengine Wakomavu wa Kawe na Kimara Temboni wameachwa?

    Acheni Double Standards tena nadhani huyu wa Buza ( Kiboko ya Wachawi ) hana Madhara sana japo ni Tapeli kama hawa Wawili wa Tanganyika Packers Kawe na Kimara Temboni. Halafu Serikali mkiona tu jambo fulani GENTAMYCINE nalijadili au nalizungumza mno hapa JamiiForums kwa 100% jueni si zuri na...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

    Shalom, 90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa. Na wanawake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…