hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Hii ni kwanini sina chuki nawanawake

    Tuliombre mno taifaletu pendwa, At this age above37,nimeona mengi na nimekwepa mishale mingu mno,haikua kazi rahisu Leo naomba nishee nanyi sababu za kwanini sina chuki moyoni mwanguna wanawake,au jinsia ke, tofauti nawengi humu wanaoeneza sumu kwa wannawake . 1)malezi ya udogoni, Udogoni...
  2. Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  3. Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  4. Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali

    Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu.... Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
  5. W

    Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  6. R

    Viongozi wa wizara na taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani mkeka wenu unakuja kama siyo leo usiku basi wiki hii

    Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni 1. Utekaji 2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria 3. Viongozi wa chama cha mapinduzi kusafirisha wahamiaji haramu kwa mashangingi bila kuchukuliwa hatua 4...
  7. Uongozi unaoacha alama hii ndio faida ya bomba la mafuta

    Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
  8. Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  9. Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  10. D

    yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  11. Kwa hali hii utaweza?

    Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
  12. Xiaomi wamezindua SU7 Ultra: Hii Hyper ina 1500+ HP

    Wapenzi wa magari especially EV na hybrid. Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV. Kwa design, hii ni Sport sedan ikiwa na milango minne. Muonekano wake sio mgeni machoni mwetu, wamekua...
  13. Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  14. M

    Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

    Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema. Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?
  15. Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
  16. Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  17. Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  18. Kama aliyemkosoa vibaya hadi Kumtusi Trump Wiki hii Trump Kamteua kuwa Mgombea Mwenza kumbe hata Mimi Mkosoaji 2025 naweza kuwa Mgombea Mwenza wake

    JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
  19. Ushawahi kugombania demu na DJ Klabu au Baa ukashinda hii game?

    Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi hapo kumtoa inakuwaga ngumu sana sana sana ukiforce utaishia kumaliza pesa zako tu tena mkimpa bia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…