hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Sababu kubwa ya wanaume kukosa nguvu za kiume hii hapa

    Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je? Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya pweza, kutafuna karanga ama mihogo, tafuteni pisi safi na zilizojitunza utanishukuru.
  2. Naomba kujua hii 'Samia Legal Aid Campaign' ni kiashirio kwa ameshaanza Kampeni? na je, itakuwepo na baada ya Uchaguzi Mkuu ujao?

    Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
  3. Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  4. Hivi ushawahi kukutana na hii?

    Hope Jumapili iko njema kwa wote,. Kwa ambao hamko sawa nawaombea mrejee kwenye hali zenu za kawaida.. Iko hivi, imi hua nakutana na hii kitu sijui niiwekaje,. Yaani unakuta maybe mtu ana shida na kitu fulani labda kuelekezwa au kumpatia namna ya kukipata au kukijua. Na ninao uwezo labda wa...
  5. EMPIRE OF DUST: Hii nafikiri ni filamu nzuri yenye funzo, kuna jambo mchina akielezea kutuhusu sisi waafrika kupitia Congo

    Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
  6. Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

    JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State. Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
  7. Hii dawa inatibu nini jamani

    Montelukast sodium 10g Amepewa mtoto wa miezi saba. Anakohoa kwa mbaali kihohozi kama amepaliwa na maji.na sio kiviile lbda mara tatu kwa siku koh koh koh koh sio kiviile yaani. Na Yuko tu poa haumwi wala nini. Ila dokta bingwa kasema apewe hyo dawa Nimegoogle ni ya asthma.na hajapimwa wala...
  8. Hatimaye Waislam nao wamefikiwa na wasanii kwenye mahubiri

    Baada ya waislamu kuucheka,kuuponda ukristo hatimae nao wamefikiwa na wahuni Huyu kwetu sisi wakristo ni muhuni kama wahuni wengine tu Hana tofauti na kiboko ya wachawi. Nimemaliza
  9. Hakuna kitu cha Milele katika Dunia hii ikiwamo Matatizo

    Ni kweli kabisa tunakumbana na matatizo makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine likikufika unaweza ukaona kuwa sasa umekwisha. Yani unaona kabisa hapa sitoboi hata iweje. Ngoja nikuambie kitu. Tatizo linapotokea wakati huo huwa linakuwa la moto sana kulingana na tatizo lenyewe. Sasa...
  10. Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  11. Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

    Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
  12. Nitakuwa wa mwisho kabisa Kuiamini hii Taarifa japo kwa 50% namkumbali na namheshimu aliyeitoa

    Kuwa Taasisi Moja muhimu Tanzania ambayo Watendaji wake Wanaogopwa sana tu imefuta Kazi Wafanyakazi wote. Jamani hivi unawezaje kufuta Kazi Watendaji wote ambao 99% yao wanajua Taarifa zote Muhimu ambazo hata akina GENTAMYCINE hatutakiwi kuzijua au hata tu kuzihisi? Hivi tunajua kuwa Kitendo...
  13. Ipe maneno hii picha na mshauri kamanda!

    Gazeti la Guardian leo 2/7/2024.
  14. Hii bidhaa ikipatikana Tanzania itafanya mageuzi makubwa hasa kwa "RESIDENTIAL HOUSES"

    Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials" Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement NIMEWAPA WAZO BURE
  15. Kwa hiyo ulivo mjinga ulitegemea Three Suitors one husbad ikupe hii kitu

    Habari ndugu zangu.
  16. LATRA Watangaza route mpya wafanya biashara ya usafiri changamkieni hii fursa

    Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini 👇🏻
  17. Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'

    Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika 1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo 2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
  18. Kwanini wana Yanga SC wa JamiiForums hii Mada ya Shilingi Milioni 200 kwa Mwaka inawauma na Ukiwauliza wanakuwa Wakali sana Kujibu?

    Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
  19. E

    Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

    Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza
  20. D

    Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…