hewa

The Hewa are an indigenous people that live in the Koroba Lake Kopiago Electorate of Hela Province of Papua New Guinea near the junction of the Strickland River.They were one of the last peoples in Papua New Guinea to come into contact with the outside world. They number about 2,000 persons, and their rugged rainforest terrain comprises about 200 square miles (518 km2), some of which was unexplored until 2008. Their language belongs to the Sepik family.
They hunt birds, reptiles and mammals for food, adornment and trade with neighboring tribes. Having learned that fruit- and nectar-eating birds, such as fruit-doves and lorikeets, are vital to forest regeneration, the Hewa slash small gardens out of the dense jungle and allow about 20 – 25 years for the tilled yet unseeded land to be reforested naturally. Their language is not related to any outside the general area and their culture is unlike that of the other Southern Highlands tribes. They have some limited trade with those neighboring tribes, exchanging the Hewa's animal skins, spears and nose rings for shells and boars. They make paintings on flat sheets of bark but these paintings, done for magical purposes, are never traded or exhibited.They are one of the few tribes in the fringe highland area never to have practised cannibalism, perhaps because their belief associates cannibalism with dangerous sorcerers. It is not uncommon for women accused of witchcraft to be killed. The Hewa have been extensively studied by anthropologists Lyle Steadman and William H. Thomas. The Hewa were also featured on the final episode of the Discovery Channel program Survivorman and in a later program called Beyond Survival.
The Hewa were one of the last peoples in Papua New Guinea to come into contact with the outside world. Many Hewa people north of the Lagaip River were uncontacted until 1975, when the Officer in Charge at Kopiago braved arrow attacks and led what probably was Papua New Guinea's last "first contact patrol", bringing steel axeheads to an area where stone axeheads were the norm. Even south of the Lagaip, many Hewa families were first contacted by Steadman in the late 1960s. He found that the typical family (which averaged seven people) lived in relative isolation from other families, with their nearest neighbors living half a mile away through dense jungle. After darkness envelops their isolated realm, the families often stay awake for hours, the men telling myths and stories around a fire, and the women, gathered around a separate fire in their section of the house, often interrupting with well-timed quips and jests. Sometimes, historical tales are sung or chanted.In recent decades, change has come to the region. Many Hewa wear Western clothes instead of the traditional grass skirts; though the majority still live in scattered households, many now live in villages and travel agencies fly tourists to newly constructed airstrips to visit them.

View More On Wikipedia.org
  1. Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
  2. Mapato yote serikalini yanamezwa na mafisadi — wao wanakula, sisi tunadanganywa na bajeti hewa!

    Wakuu, kama hujawahi kukasirika hadi damu ipande pressure, basi soma huu uzi kwa makini. Hii siyo lelemama, siyo kutafuta kiki wala siasa za kishamba — hii ni sauti ya uchungu, hasira na uhalisia wa mnyonge wa Tanzania anayeishi kwa maajabu ya Mungu. Serikali imetangaza bajeti ya mwaka wa fedha...
  3. Kwa mujibu wa akili mnemba "kumbe serikali inaweza Kutengeneza fedha hewa?".

    Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..? Na haya ndio majibu iliyonipa.. Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali hilo. [22/04, 16:24] Akili mnemba: Swali lako ni la msingi sana, na linaingia kwenye uchambuzi wa...
  4. Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  5. A

    Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

    Salamu kwenu wadau wa mpira. Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza. Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa. Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion...
  6. T

    Nini tiba ya ugonjwa wa Kifaranga kujaa hewa mwilini?

    KIfaranga kapata ugonjwa wa mwili kujaa hewa na kuwa kama puto, nini tiba ya haraka ?
  7. Nadharia yangu namba saba: Mwanadamu aliumbwa duniani kwa ajili ya kuzalisha hewa ya carbondioxide

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art" Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake... Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake. Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
  8. Mamlaka ya hali ya hewa, sema kitu, Joto limekuwa kali mno

    Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
  9. Ifahamu Hali ya hewa ya mlima Kilimanjaro na zones zake kwa ujumla

    Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo yanaweza kugawanywa katika maeneo saba (zones): 1. Lower Forest Zone: Hapa ndipo panapokuwepo na miti ya...
  10. Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  11. Mama na mwanaye wakutwa wamefariki dunia chumbani kwa kukosa hewa

    Nimeona nitoe taaluma hapa kusaidia jamii Ukilala usiku hasa hasa kama nyumba haina madirisha ya kuingiza hewa ya kutosha kisha ukaingiza jiko la mkaa kinachotokea ni kwamba hewa ya oxygen iliyopo chumbani ina react na mkaa na kutokea hewa ya carbon dioxide C + O2 = CO2 hii carbon...
  12. Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  13. Wafungulieni wajumbe wapate hewa hata kidogo jamani!

    Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika. Pia wanahoji kwanini...
  14. Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
  15. Ahadi hewa zilizotolewa na Viongozi wa CCM kwa mwaka wa fedha 2024

    1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device Hapa tulipigwa changa na utapeli 2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto...
  16. Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
  17. Miaka michache mbele miji ya Africa ndiyo itakuwa na hewa chafu zaidi duniani

    Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask. Leo miji...
  18. M

    Ruvuma: Wananchi wa Kata ya Kilagano tunaendea kulima kwenye Hifadhi ya Mlima Lihanje sababu ahadi ya DC ya kutuhamisha imekuwa ‘ahadi hewa’

    Hifadhi ya Mlima Lihanje ni chanzo pia cha maji kwa Wakazi Kata ya Kilagano, Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Pamoja na faida hiyo kuna uharibifu unaoendelea wa kuendesha shughuli za kilimo katika Mlima huo. Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile alipotembelea eneo hilo Desemba Mwaka...
  19. LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  20. G

    Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…