hekima

Hekima College is a Jesuit school of theology in Nairobi, Kenya, affiliated with the Catholic University of Eastern Africa. It opened in 1984 as a seminary for Jesuits studying to be priests. Since its opening, Hekima has diversified its student base. In 2004 it opened the Institute of Peace Studies and International Relations (HIPSIR).

View More On Wikipedia.org
  1. Special Thread: Motivational/ Interesting/ Wise Quotes

  2. Bodi ya ligi ni hekima zaidi kusilikiliza madai ya Yanga, wala siyo unyonge

    Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF walisikiliza Simba na kuvunja mechi kijinga kwanini isiwasikilize Yanga wenye hoja zilizoshiba kuliko...
  3. PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

    Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi...
  4. Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  5. Kwanini hekima za kale pia hata maandiko zilisisitiza ndoa za wanawake bikira

    Katika tamaduni nyingi za kale, hasa barani Afrika, wazee wetu walithamini sana mwanamke anayehifadhi usafi wa mwili wake – si kwa sababu ya mila tu, bali kwa sababu walijua fumbo la nishati lililojificha katika tendo la ndoa na nguvu ya kwanza ya muungano. Katika ulimwengu wa kiroho, mwili wa...
  6. Hekima za Dkt Benson Bagonza(PhD) Kuhusu Press Ya Dr Gwajima

    NGUVU na AKILI: TUBOMOE au TUJENGE? Kuna mwimbaji aliimba, “Bomoa eh, Bomoa Baba Tutajenga kesho” Na wana mikesha wakaimba, “Chocheaa, Chocheaa karama ya Bwana chochea”. Lakini Bwana Yesu anasema katika Mathayo 5:9, “HERI WAPATANISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU”. Nchi ina joto kali...
  7. Hii ni spesho kwa wadau wenye kutafakari mambo kwa hekima

    Nadhani watu wanao utafuta ukweli ndani mioyo yao,nafsi. Wewe ulifanya meditation kwamda mrefu bila kuona maana ya meditation. Nimekuletea zawadi ya MAGIC mushrooms. Mkoani utatumiwa na ikiwa upo dar es salaam UTAKUJAMOJA KWA MOJA OFSINI.
  8. Uislamu dini ya haki yenye ustaarabu, hekima na busara

    Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu...
  9. Hekima Haitafuti mahakama bali hutafuta mazungumzo kwa njia ya Amani

    Hekima: Msingi wa Maisha Yenye Amani na Ustawi Katika safari ya maisha, hekima ni nyenzo muhimu inayoweza kuleta utulivu, maendeleo, na mafanikio. Dunia yetu inakabiliwa na changamoto nyingi—migogoro ya kifamilia, kisiasa, kijamii, na hata kidini. Lakini je, tunatafuta suluhisho sahihi kwa...
  10. V

    Nimeisikia mahali na nimethibitisha kwamba ni kweli ila sababu bado siijui. Wenye hekima na maarifa, tafadhali mtujuze

    Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa.... Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama lazima ugeuke kutazama ulipotokea ndipo ujisaidie. Kwa nini IPO hivyo?
  11. Tambua sauti yako ina nguvu kubwa kuliko unavyodhani, itumie kwa hekima

    "Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno." Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine tunadhani tunazungumza kwa upendo, lakini kwa bahati mbaya, maneno yetu huacha majeraha yasiyoonekana...
  12. Eti CCM wanamshambulia Comedian Said Said, kisa utani kwa Rais ulopitiliza!

    Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO. Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha...
  13. Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  14. Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

    Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili. Nepotisme and Favoritisme ni LAANA Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza ! Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni...
  15. Hizi ndio hekima 50 nilizojifunza nyikani

    01. Kukalia kiti kikubwa hakukufanyi kuwa mfalme. 02. Tunasubiri vitu vingi na kwa bahati mbaya vitu hivyo huwa havitokei. 03. Kumbuka baada ya kimbuga kupita kifuatacho ni upinde wa mvua. 04. Uovu huingia kama sindano lakini hukua kama Oak tree. 05. Thamani ya wazo ipo kwenye kulitumia...
  16. Tanzania Imepata Rais Mwanamke Asiye Mstahimilivu, Asiye na Subra, Maono, wala Hekima na Busara za Kiutawala

    Wakati historia iliandika ukurasa mpya kwa taifa la Tanzania kumpata rais wa kwanza mwanamke, matumaini ya wananchi, hasa wanawake, yalikuwa makubwa mno. Ilidhaniwa kuwa hatimaye sauti ya mwanamke ingesikika, na siyo tu kusikika bali pia kuleta mabadiliko yenye tija, huruma, ufanisi na hekima...
  17. Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  18. H

    Wenye Hekima Wanaongea Kuhusu Haki, Machawa Wanaongea Kuhusu Amani Bila Haki.

    Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa umetatua matokeo yake. Wasio na akili wala maarifa, wao hutazama matokeo. Watabakia kuhangaika na...
  19. Sikukuu za Pasaka na mafundisho kuhusu kuishi kwa dhamira na kuchagua kwa Hekima.

    Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu............... Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
  20. RC Makonda: Migogoro iliyopo inazungumzika tusisubiri tatizo likatokea, tukapiga kelele dunia ikajua, tunajiumiza kwa kutoonekana kuwa na hekima

    Wananchi wa Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokoni 1 mkoani Arusha wamelalamikia ubovu wa kivuko eneo la Darajani. Wameeleza hayo leo Aprili 15, 2025 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda aliyefika kuwasikiliza. Baada ya kusikiliza kero hiyo, Makonda ameahidi kufuatilia suala hilo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…