hedhi

  1. M

    Je, ni kweli mwanamke akiwa katika siku za hedhi anakuwa na hasira?

    Habari za asubuhi wakuu? Natumaini tu wazima wa afya, kwa wale wagonjwa polen!! Neende moja kwa moja kwenye mada! Et wakuu mwanamke akiwa kwenye cku zake ( bleeding), anakuwa na hasira Sana adi kumchukia mmewe/ mpenziwe. Mimi ni mwanamme nipo katika mahusiano miezi 6 saiz na dada fulan toka...
  2. Je, nyani jike au sokwe jike wanapata hedhi?

    Naomba nifahamishwe Kama Kuna anayejua jibu la swali langu maana nyani jike au sokwe wapo Kama sisi.
  3. SoC01 Teknolojia ina nafasi kubwa kwa Mwanamke kipindi cha hedhi

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya watoto wa kike katika kipindi chao cha HEDHI. Katika Andiko hili tutazungumzia mambo makuu matatu...
  4. T

    Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini?

    Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini. Je, ni kweli husababishwa kutokushika mimba? Naomba tiba yake
  5. Kwanini mwanamke akiwa hedhi anamchukia Kila mtu

    Wife alikuwa kwenye mzunguko nimenuniwa siku tatu na sikumfanyia kosa lolote, kwanini lakini nyie wake zetu mnakuwa na majaribu?
  6. Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
  7. Kuna tatizo linawasumbua wanawake baadhi, wanapata hedhi isiyokoma

    Kwanza kabisa naomba niseme sijaripoti kwenye mamlaka zinazohusika sababu hawatalichukulia kwa uzito ama watachelewa kupata data tofauti na nikipost kwenye social media platforms kama hii data zitapatikana kwa urahisi zaidi na wahusika watalichukulia kwa uzito. Kuanzia mwezi wa nne mwishoni...
  8. Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

    Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina. Soma kwa makini kuna fundisho hapa Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu. Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada...
  9. Zifahamu sababu zinazoweza kupelekea mwanamke kukosa hedhi

    Katika mada yetu ya leo tutalijadili tatizo la kukusa hedhi ambalo kitaalamu huitwa amenorrhea. Mwanamke anakuwa na tatizo hilo pale ambapo anakosa hedhi kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo, au msichana ambaye hajaanza kupata hedhi akiwa na umri wa miaka 15. Sababu ya kawaida ya kukosa hedhi...
  10. MUNGU WA HEDHI: Hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukuta siku tatu

    MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule kwa sababu kuu mbili mandhari ya mji mkuu wa PARIS yanavutia sana , si ajabu kukuta wasanii wetu wa...
  11. Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

    Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu? Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
  12. Mwanamke anayeingia hedhi kila ifikapo tar 21(haibadiliki), mzunguko wake ni wa siku ngapi?

    Habari watu wa JF Kama mada vile inasema, napata utata Sana kujua Mzunguko wa siku za mwenzangu baadhi ya watu niliokwisha uliza wanakuwa wakisema Mzunguko wake uko na siku 28 mwingine vile akisema uko na siku 31. Sasa nakua dilemma which is which. Pia katika kupitia siku hizo za Mzunguko wa...
  13. S

    Yamenikuta: Mzee Mwagito ameniwekea tego la kutokwa hedhi kila nikikutana na mwanaume

    Maka 5 iliyopita nikiwa nasoma mwaka wa pili kule Iringa nililetewa bahasha na kijana fulani (jina kapuni) aliyekuwa class mate wangu. Ndani ya bahasha kulikiwa na sh laki 3. Fedha hizi zilitoka kwa mzee Mwagito (siyo jina halisi). Nikataka kuzikataa, lkn shosti yangu mmoja akasema acha ujinga...
  14. GE2020 Patrobas Katambi amtaka Salome Makamba kuwaomba radhi wanawake kwa uzushi aliosambaza juu yake

    SAKATA la wagombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Salome Makamba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeendelea kuchukua sura nyingine baada ya hii leo, Katambi kumtaka mpinzani wake huyo ajitokeze hadharani aombe radhi kabla...
  15. Jamani 'Happy Hedhi Day' kwa Wanawake wote Duniani

    Leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya 'Hedhi kwa Wanawake' wote walio Hai Mimi naona nami hapa hapa nitoe Ushauri wangu Kwao... 1. Wawe wanazitupa vyema pale wanapomaliza Kuzitumia. 2. Wakiwa katika Vyoo vya Maofisini wahakikishe wawe wanazisukuma vizuri na Maji ili zisibakie. 3. Waache Kutumia...
  16. N

    Hedhi

    Maana ya hedhi Hedhi kilugha Ni kitu kutiririka na kupita Hedhi kisheria Ni damu inayotoka kwenye uzao wa mwanamke katika muda maalumu bila yasababu Namna ya damu ya hedhi ilivyo Ni nyeusi kama kwamba imechomeka kwa weusi wake mwingi, yaumiza, ina harufu mbaya, mwanamke akiwa nayo huhisi joto...
  17. MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…