hedhi

  1. W

    MPYA Limao inasaidia kupunguza idadi ya siku za hedhi?

    Kama ilivyo kwa watu wengi, nimekuwa nikisikia hadithi na imani mbalimbali za mitaani kuhusu matumizi ya limau. Hivi karibuni, niliamua kunywa maji ya limau kwa wingi. Lengo langu halikuwa kufanya majaribio ya kitabibu, bali ilikuwa ni sehemu ya utaratibu wangu tu wa kawaida. Huwa nimewahi...
  2. JanguKamaJangu

    Mbeya: Baadhi ya Wanafunzi wa kike Shule 109 Kyela wanakatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi

    Baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule 109 za msingi na sekondari, Halmshauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, wanalazimika kukatisha masomo kila mwezi wanapokuwa kwenye kipindi cha hedhi kutokana na ukosefu wa taulo za kike, hali inayowaathiri kimasomo na kisaikolojia. Katika kukabiliana na...
  3. ELI COHEN

    Sio kweli kuwa mwanaume anaweza kupata hedhi

    Wanaume hawapati hedhi. Hedhi ni mchakato wa kibayolojia ambao hutokea kwa watu walio na mifumo ya uzazi ya mwanamke, kwa kawaida huhusisha umwagaji wa kitu kinachoitwa "UTERINE LINING" . Inaendeshwa na mizunguko ya homoni ambayo huandaa mwili kwa ajili ya ujauzito ambao ni maalum kwa...
  4. D

    Kila Mwanamke Anapaswa Kujua Hili Kuhusu Mvurugiko wa Hedhi

    Hedhi ni Nini Haswa? Hedhi ni damu inayotoka kutokana na ukuta wa ndani ya mfuko wa mimba (uterus) ambao huandaliwa kila mwezi kwa ajili ya ujauzito. Endapo mimba haijatungwa, ukuta huo hubomoka na kutoka kama damu ya hedhi. Wanawake huanza kuona hedhi wakati wa kubalehe (puberty) kati ya miaka...
  5. Genesis_2030

    🩺❓Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu? Uvimbe usio wa kawaida tumboni? Hedhi nzito au isiyo ya kawaida?

    Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba). 🔍 Ovarian Cyst ni Nini? Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
  6. fimboyaukwaju

    Siku ya hedhi salama

    Leo ni siku ya hedhi salama,tusaidie kulinda binti zetu,wake zetu,dada zetu,mama zetu na shangazi zetu
  7. R

    Hali ya mtu kuwa na hasira wakati wa hedhi

    Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
  8. Hyrax

    Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
  9. Top Boy

    Mpenzi wangu anaingia kwenye siku zake (hedhi) tukikutana

    Habari wana Jamvi, Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo. Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni...
  10. N

    Namna ya kukokotoa siku ya kupata ujauzito na mzunguko wa hedhi kwa urahisi | How to can you know your menstrual circle and a day to conceive?

    NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE? Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
  11. Blasio Kachuchu

    Barrick yashiriki maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani kwa vitendo

    Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa (wa pili kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mwananyamala B,Modeta Mushi, zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasitiri watoto wa kike.Wengine pichani ni Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi...
  12. Miss Zomboko

    Maandimisho ya Siku ya Hedhi salama

    Siku ya Hedhi Salama huadhimishwa ikiwa na lengo la kuleta pamoja sauti za wadau mbalimbali ili kuhamasisha Hedhi salama kwa Wasichana na Wanawake Siku hii huvunja ukimya na kubadili mitazamo hasi iliyopo katika Jamii kuhusu masuala ya Hedhi Maadhimisho haya yanalenga kuhamasisha upatikanaji...
  13. M

    Kushindwa kubeba ujauzito na kukosa hedhi kwa muda mrefu

    Habari zenu wadau, Naomba kushea hii kitu, kuna mtu nimekutana naye ana shida ya uzazi lakini mwanzo aliweza kubeba ujauzito na kujifungua mtoto mmoja. Baada ya hapo hakuweza tena kubeba ujauzito wala kupata hedhi kwa muda wa miaka 4 hadi sasa. Mwenza wake alijuzwa na madaktari kuwa mkewe...
  14. Mjanja M1

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7 na Kupata Ujauzito

    Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba. Credit: Dr. Kala
  15. Shining Light

    Kufanana kwa hedhi ni Imani tu

    Wanawake wamekuwa wakielezwa kuwa kuishi au kukaa na wanawake kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mizunguko yao ya hedhi kufanana. Lakini wakunga wanapambana kuvunja imani hio, wakionyesha kwamba imani hizo ni za zamani na haina msingi thabiti katika sayansi. Daktari Jen Gunter, daktari wa...
  16. W

    SI KWELI Kunyanyua vyuma kunaweza kuleta dalili za mapema za kukoma hedhi

    Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini. Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
  17. sky soldier

    KKKT, Walokole je, ni sawa kwa mwanamke alie kwenye hedhi kuendesha ibada?

    Hapo zamani KKKT hawakuruhusu ila nadhani walianza kuiga kwa Walokole. Je, kwa mwanamke alie kwenye mzunguko, ni sawa kuendesha ibada takatifu? Ni kinyume hata kwa agano jipya kitabu cha 1Timotheo 2 inayohusu maagizo ya utaratibu wa ibada. 1 Timotheo 2:12 >> "Simruhusu mwanamke yeyote...
  18. Ejolisi

    KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

    Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi? Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
  19. Papaa Mobimba

    SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu siku zao za hedhi zinapofika na kukamilika. Dalili za mwanaume aliye kwenye hedhi ziko akilini...
  20. Loimata

    Msaada: Period (hedhi) inanitesa

    Habari zenu wakuu. Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi. Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini. Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata...
Back
Top Bottom