heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  2. JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  3. JamiiForums Tanzania WANTED! WANTED! For conducting unauthorised Surveillance to John Heche

    Tanzania Police received information on Unknown Criminals conducting surveillance on CHADEMA Vice Chairman and the investigation is underway kindly if you know Who is this person and why is he following Hon. John Heche? Do you recognize him? If you see him or if you know who he is, please...
  4. JamiiForums Tanzania Heche akemea wimbi la utekaji nchini, atoa msimamo wa CHADEMA kwa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amekemea vikali wimbi la utekaji na kupotea kwa watu nchini wakati akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa mpakani wa Sirari, wilayani Tarime mkoani Mara. Akihutubia mamia ya wananchi waliofika...
  5. JamiiForums Tanzania Chacha: Vyombo vya usalama mfuatilie Heche kwa kauli zake

    Katibu wa NEC, Organizesheni wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha, amesema CCM haina ajenda za kuua watu, kama ambavyo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amekuwa akidai. Akizungumza jijini Dodoma, Chacha amemnukuu Heche akisema, "Wasira ni mzee anasinzia kwenye vikao...
  6. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya John Heche Tarime

    Mapokezi ya John Heche Tarime. Hata hili eti CCM linawauma. Ukiwa CCM roho mbaya ndo Silaha
  7. JamiiForums Tanzania Chama cha AAFP chamjia juu Heche kukiita "chama cha mfukoni"

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP) Taifa, Shani Ally Kitumbua, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche kutokana na kauli yake ya kukiita AAFP kuwa "chama cha mfukoni" na kudai kuwa kina watu wachache. Akizungumza na...
  8. JamiiForums Tanzania Heche: Mama yangu anahofu, kaniambia niache kazi hii ya Siasa

    Serikali ya Samia acheni watu wafanye siasa kwa amani vitisho vyenu sio tija bali mnaendelea kujenga chuki zaidi. Shauri zenu ============ Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amesema Mama yake mzazi amekuwa na hofu kutokana na taarifa anazozisikia na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

    Aliyemtuhumu Heche akiomba radhi"Narudia kuomba msamaha tena kwa viongozi wote walio hapa, kwa Makamu Mwenyekiti. Na imani nimekosea. Basi kama pale nilipokosea na nimeamini nimekosea, naomba anisamehe. Viongozi wote naomba mnisamehe. Nitakuwa wa kwanza kumwalika ziara Makamu Mwenyekiti aje...
  10. JamiiForums Tanzania Heche: Wakiiacha CHADEMA kwenye maridhiano watakuwa wameacha robo tatu ya Watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema endapo chama hicho hakitashirikishwa kwenye maridhiano, maana yake itakuwa robo tatu ya Watanzania watakuwa hawajashirikishwa. Akizungumza Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, Heche alisisitiza msimamo wa chama...
  11. JamiiForums Tanzania Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amemjibu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Paul Chacha, akisema ni kweli Tanzania hakuna upinzani kwani CCM imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa genge la Dola lililojivalisha nguo za chama hicho. Chacha aliitoa kauli hiyo Agosti...
  12. JamiiForums Tanzania Heche amjibu Paul Chacha: Kusema Wasira amezeeka ndio kumtukana?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, amekausha kumtukana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira aliposema kuwa amezeeka. Soma zaidi: Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"? Ameyasema hayo Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwashitaki wanaombagaza Heche

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza nia ya kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaojitambulisha kuwa viongozi wa chama hicho bila uhalali, kikidai wamekuwa wakikibagaza chama hicho na kumkashifu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche. Hali hiyo ilianza kujitokeza...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  15. JamiiForums Tanzania Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

    Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ccm kutumia makapuku wa chaumma kumtukana heche kupitia dalali na shehe fake mwaipopo inamaanisha nini?

    Jamani wadau mmeamkaje? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, imeibuka tabia ya ccm kutumia wale makapuku wa chaumma kupitia yule shehe fake mwenye vikundi vya kigaidi mwaipopo kumtukana heche na hitimisho lao wanasema aachie ngazi kwenye nafasi aliyonayo sasa maswali yangu ni haya; 1. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Fanyeni hivi ili Heche ajiuzulu

    Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA. Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi? Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala. Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua...
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

    Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako? Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje? Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini? Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za...
  19. JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…