Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni Sana Watanzania wenzangu.
Habari ni Kuwa Kura za Maoni zitafanyika upya katika Jimbo la Kongwa Kufuatia kifo cha Hayati Jobu Ndugai aliyekuwa miongoni Mwa wagombea katika Jimbo hilo.
Ambapo pia katika uchaguzi wa kura za Maoni za Awali kabla ya Kifo chake...
Ikulu ni mahala patakatifu alisema hayati Julius. Panahitaji kukaliwa na mtu mwenye sifa zinanazofaa.
Eti Kunje Ngombale Mwilu!. Luhaga Mpina na Salumu Mwalimu
Hata kama ni kazi maalumu. Sio kihivyo.
Nyakati zinakimbia sana!
Miaka 10 iliyopita wakati wa kampeni za kumuweka madarakani John Pombe Magufuli, hayati Benjamin Mkapa alitupa tusi lenye kejeli ndani yake la kutuita malofa.
Sijui nini kilimsibu mzee wa lupaso mpaka apayuke neno lile gumu kwa Watanzania.
Anyway yeye na Magufuli...
Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma
Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai
Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi
Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai
Rip Job Ndugai
Polepole, leo kwenye wasilisho lake live, ameeleza mambo mengi mazito juu ya hatari ambayo Taifa linapitia. Katika kufikisha ujumbe wake, ameelezea majadiliano mbalimbali aliyoyafanya na watu mbalimbali wenye uzalendo wa hali ya juu kama Mzee Warioba, Butiku na hayati Mkapa hapo mwaka 2015. Na...
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko...
Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao.
Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!
Kuna wakati unaweza kumsifia mtu kumbe bila kujua unamharibia. Privaldinho alianza vizuri andiko lake ila kumfananisha Mwigulu na mtu aliyekuwa na kashfa kibao za ufisadi na ukwepaji kodi sio sawa. Hapo anamharibia.
https://www.instagram.com/p/DL-rOBjKqy2/?igsh=Ym9mbjdsYXg5bGk1
Wasalaam
Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani?
Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji?
Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
Flavian Methew Nyandikuu
Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ambaye alifariki wiki iliyopita akiwa nchini Afrika Kusini, imedai kuwa marehemu aliacha maelekezo mahsusi akitaka Rais wa sasa, Hakainde Hichilema, asijihusishe kwa namna yoyote na shughuli za msiba wake wala kuwa karibu na mwili wake.
Kwa...
edgar lungu
familia
hakainde hichilema
hayati
kizungumkuti
kuhudhuria
lungu
mazishi
msiba
mstaafu
mwili
rais
rais mstaafu
rais wa zambia
ulipo
wake
wosia
zambia
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi...
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo .
https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.