hayana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania mauaji na ukatili wa Oktaba 29 hayana dini, eneo wala jinsia

    Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
  2. JamiiForums Tanzania Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa Mtandaoni hayana ushahidi, wanatumia pages zangu kupata followers

    Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea? Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
  4. JamiiForums Tanzania Ila maisha hayana adabu, dunia duara

    Maisha haya shikamoo. Sikuwahi kufikiri kuna siku nayo katibu mwenezi wa chama mstaafu kuna siku naye familia yake itaomboleza kama Watanzania wengine ila maisha ni kitu cha hatari kweli. Sasha kiburi kinakuponza kila siku nakukumbusha kuwa unamjua Jiang Qing hili Mama lilikuwa katili kushinda...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni manyangau, hayana hata aibu/haya/soni. Yamesha jilimbikizia mali Dubai likitokea la kutokea yanakimbilia huko na familia zao. What next?

    Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha. Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki. Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
  6. JamiiForums Tanzania Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

    Waliomuona jana kwenye kongamano wanasema kachoka na uso hauna nuru! Sura imesawajika na anaonekana dhaifu na dhoofu! Haya si maneno yangu bali ya waliomuona Kwenye Biblia takatifu kitabu cha Mithali kuna mstari unasema .. HERI MEKO KAVU PAMOJA NA UTULIVU....! Hakuna kitu kinamaliza watu kama...
  7. JamiiForums Tanzania TCRA: X ndio wamesitisha huduma nchini. Tuliongea nao waondoe maudhui ambayo hayana "maadili" ya Kitanzania

    Wakuu, Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi? Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia. Basi sawa! ============================= Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  9. JamiiForums Tanzania Maswali ambayo hayana majibu

    Je Kama CHADEMA haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, chama tawala kwanini wanaogopa kufanya reforms zinazopigiwa kelele Hadi watu kutekwa, kuumizwa, "kupotea", hadi kuzuia watu kwenye viwanja vya ndege kuhudhuria kesi, kusudi ili ufanyike uchaguzi wa huru na haki mkaithibitishia dunia maneno...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  11. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Makanisa hayana tofauti na Kumbi za starehe

    Sijui kanisani ni mahala pa kutongozana!!! Unakuta binti kavaa skirt limembana makalio mpaka chupi inaonekana kabisa. Au Mabinti wanaenda kujiuza kanisani?
  13. JamiiForums Tanzania Life has no make-up / maisha hayana mapambo, na hayaifichi ukifika umri furani

    Maisha Hayana Mapambo: Ukweli Usio Na Filter Unapokuwa Mzee Kadiri muda unavyosonga mbele, maisha yanafunguka kwa njia ambazo mara nyingi hatutarajii, yakileta masomo na uzoefu ambao hutufanya kuwa kile tulichokuwa kimekusudiwa kuwa. Kwa wengi, miaka ya ujana imejaa hamu ya kuonekana bila...
  14. JamiiForums Tanzania Majadiliano ya Dini yanayokuja Tanzania hayana mashiko.

    Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu na amani kati ya watu wa dini tofauti. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa majadiliano haya yanaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Rufiji na Geita zapandishwa Hadhi ,Maendeleo hayana Chama

    RAIS SAMIA AZIPANDISHA HADHI RUFIJI NA GEITA. Na Malick Maliki, Chamwino Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipandisha hadhi Halmashauri ya Wilaya ya...
  16. JamiiForums Tanzania Maombi ya Wazazi wako hayana mchango wowote katika mafanikio yako. Matendo yao Mema ndio sadaka kwa mafanikio yako

    MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama Yesu. Hata wafunge Ramadhan na Shaban. Hata wagaregare na Kuvaa magunia. Ni Kazi bure tuu. Maombi...
  17. JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa, unaweza kulala mwili tu lakini akili na moyo zikakesha zikitafuta utulivu na usipatikane Unaweza kuongea pekee yako na yakakupelekea kuona kama hukuwa na sababu ya kuzaliwa na huna thamani yoyote tena. Maumivu yanatesa...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Ama kwa hakika maisha hayana maana kabisa

    Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa bahati mbaya akapata ajali baada ya bajaj yake kugongana na coaster. Mwamba akalala mazima. Ooh...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vyuo vizuri Tanzania, mambo ya Kuivana kuchagua vyuo vyenye elimu ngumu hayana uzito, baada ya kuhitimu maisha yanaendelea

    Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection. haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje masoko ya Lebanon yenye matatizo mengi hivi yana tiles ila yetu hayana!

    Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles! Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo?? Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…