haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maigizo: Mbunge wa CCM Stellah Manyanya adondoka chini baada ya serikali kutoa Tsh bilioni 81 ujenzi wa bandari ya Mbamba Bay

    Mbunge wa Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya, Ali Jumbe na Diwani wa Kata ya Mbambabay,Ajali Hassan wakimsaidia kusimama Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Stella Manyanya aliyeanguka kwa furaha kufuatia Serikali kutoa Bilioni 81 kwa ajili ya Ujenzi wa Bandari mpya katika Mji wa Mbambabay.
  2. JamiiForums Tanzania Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  3. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad 📆 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa chama cha upinzani 2025

    Sisi wananchi ndo wenye nchi na sisi ndiyo tulioiweka CCM kwenye uongozi lakini kadri mambo yanavyoenda inaonekana CCM haitujali imelewa madaraka. Yafuatayo ni mambo yanayoweza kuipeleka CCM kuwa Chama cha upinzani 2025. (1) Ukosefu wa umeme. Hili ni tatizo. Umeme ni jawabu la asilimia kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  7. JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA ni jogging hayana impact kwa mtawala

    Chadema wamekuwa wakiandamana wakati huo huo watawala hawagopi wala kusikiliza hoja zao ....wengine hawaogopi kabisa wanasafiri wanaenda hadi nje ya nchi wanajua maandamano hayana madhara sawa tu jogging fulani tu Africa tofauti na ulaya Ulaya watu hata wanne wakifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Je kuna athari yoyote kutumia haya mafuta wakati wa kusugua Papuchi?

    Sometimes najikuta nasugua machine muda mpaka kuna kauka kule chini. Basi nimepata demu analoana vizuri mwanzoni. Nikisugua sana akimaliza mara moja au mbili anakuwa mkavu. Mimi bado nakuwa nahitaji maana anakuwa kuna vijicent vyangu amekula. So si sahihi eti dk 5 au 10 nimwache. Nataka ale kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini haya yanafanyika Zanzibar?

    Wana Jf bila shaka mpo salama, Hongereni kwa majukumu ya kutwa zima ya ujenzi wa uchumi mtu mmoja mmoja, Familia na Taifa, Bila kuwachosha nijielekeze kwenye hoja yangu, Kwa Zanzibar unakuta kuna malalamiko sana chini kwa chini hasa linapokuja swala la kuajiliwa kwenye taasisi za serikali na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukata wa dola Tanzania, tufanye haya kuepuka

    ✅Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima, kuna miradi ya miundombinu isioendana na uhalisia wa uchumi wetu na miradi inayofilisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo vikibaki vile vile. ✅Tuepuke kuchukua mikopo mikubwa kufanya miradi isio na tija.Mikopo mikubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

    Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana...
  13. JamiiForums Tanzania Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  14. JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake. Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
  15. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
  16. JamiiForums Tanzania Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki. Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi. Ukweli ni kwamba...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwenye maisha: Kupata ni majaliwa haimaanishi wewe ni bora kuliko mwingine

    Hii ni experience ya maisha YANGU. Tahadhari nisinukuliwe vibaya kwa kupingana mawazo. Imani, utamaduni uliyojengeka katika nchi yetu. Kupata ni majaliwa haimanishi wewe bora kuliko wengine. Usimdharau mtu. Leo unayemuona hafai kesho anafaa. Amini kwenye UWEZO wako, mchakato kutoka hatua moja...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ni makosa makubwa mawili yanayofanywa na wajasiriamali wengi na kuishia kujuta.

    Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa wanaojiita Motivational speakers na life coaches. 1. Kudhani wanaijua biashara na kutojifunza zaidi Huu...
  20. JamiiForums Tanzania Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

    Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…