haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

    1. Kocha Benchika kutimuliwa rasmi Simba SC 2. Mwekezaji Mo Dewji kuchafua Hali ya Hewa kwa ama Kujiondoa Simba SC au Kuubadili Uongozi wa Bodi. 3. Mwenyekiti wa Bodi Simba Sports Club Limited Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Kujiuzuru rasmi. 4. Simba SC kuitisha haraka sana...
  2. JamiiForums Tanzania Mlio jirani na Kikosi cha Simba SC tafadhali zingatieni haya Maelekezo muhimu ninayowapa kabla ya Derby ya baadae leo

    1. Timu ibadili njia ya Kupitia hasa Kuingia Uwanjani kwani tumetegwa katika Mageti mawili. 2. Wachezaji wa Simba SC wakati wa Kusalimiana wasipeane Mikono na wa Yanga SC bali wagonge Ngumi tu. 3. Mchezaji wa Simba SC ambaye leo atabeba Mzigo ( Ndumba ) ya Timu afanye kila awezalo asiwe...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

    Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi. Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
  4. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Utawala wa Kikwete haya ndo mambo muhimu sana.

    1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako. 2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuajiri CEO na Wakurugenzi toka mashirika haya?

    DODOMA: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amefanya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2022-23 na kuorodhesha mashirika 99 ambayo yanadaiwa zaidi ya Sh trilioni 3.49. Je, kama Mtu ni mkurugenzi kwenye hili shirika, amekaa hapo miaka 10 na...
  6. JamiiForums Tanzania Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the “possibility” of an Israeli attack on Iran’s nuclear sites. Speaking to reporters in New York on Monday...
  7. JamiiForums Tanzania Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

    Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena. Sasa, hizi za kwenye kwapa...
  8. JamiiForums Tanzania Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
  9. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha Mvua Fanya Haya Kujilinda na Ajali za Vyombo vya Moto Barabarani

    Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau! Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo (wengine kupitia Baba zao) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo. Na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais fanya haya kuleta heshima hapo Serikalini

    Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda. Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ili Tanzania ibadilike lazima haya yafanyike

    1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mawaziri tu- Akishateua lazima hao watu wathibitishwe na Bunge. Mawaziri wasiwe...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole mafuriko ya Rufiji na Moro. Atoa maagizo haya mazito kwa BAKWATA na Serikali

    10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema...
  15. JamiiForums Tanzania Jifunze haya mambo mawili, yatakusidia

    Mpende Mungu wako. Usimpende mwanadamu zaidi ya mungu. Utu pekee unatosha, Upendo ni maradhi ya akili, jinsi unavyopenda zaidi ndo unavyopoteza nguvu ya asili ndani yako. Tengeneza himaya yako. Himaya yako ndo ulinzi wako, usipokua na himaya basi hii Dunia haitoacha kukufundisha somo la...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli ni lazima usemwe, natafuta mrembo wa kuzeeka naye. Mapungufu yangu haya Hapa

    Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda itokee tu, wana gharama sana na Mimi ni bahili sana. Mwanamke ninayemtaka awe na sifa zifuatazo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je unaelewa haya Kuhusu Betri kwenye Laptop yako..?

    Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!! 1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina Chaji. Hii husaidia katika utunzaji wa Betri ya Laptop yako. 2. Je unajua Kuwa kupata Joto sana...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni matukio yanayoongoza kupoteza furaha na amani ya watu, Endelea kuyasikiaga tu yasije kukupata

    1. Kufirisika ama kufukuzwa kazi hasa ukiwa 40s na huna assets wala skills za kukupiga jeki. 2. Kupotelewa kwa mtoto ama mzazi (heri mzike mjue kapumzika sehem flan kuliko kupotea) 3. Kesi baada ya kesi yani kushinda mahakamani
  19. JamiiForums Tanzania Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Habari za Sabato Wakuu! Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa. Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria. Hapa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…