haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Haya yote ni maisha

    Thanks God for another day. https://youtu.be/WZ1ldzuo8A0?si=ZSDv31kG-I8bAe04
  2. JamiiForums Tanzania Zingatia mambo 10 haya Kwa mkeo

    1. Mkeo si mkamilifu, msamehe 2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje 3.Mkeo ni timu, mthamini 4.mkeo ni kito adimu, mtunze 5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako 6 mkeo ni furaha yako, mnawirishe 7.mkeo anatakiwa kuwa Bora, mchsngamkie, 8 mkeo ni sehemu ya mwili wako, msitawishe 9 Mkeo sio...
  3. JamiiForums Tanzania Tutiririke vitu vya msingi kuvijua unaposimamia ujenzi kama mmiliki, haya mafundi tuambieni ukweli 1 2 3

    Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ya juzi haya aliyoyakoroga kwa kuropoka hovyo, Lisu is smart! The smartest Tanzanian Ever

    Huo ndio ukweli, ukweli usiopingika. Tatizo ni kuwa Mgema akisifiwa, Tembo hulitia maji!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

    Ukweli mchungu: Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya? Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
  6. JamiiForums Tanzania Shida ni nini kwenye haya maisha? take its so serious.

    Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida? MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga Unaamini katika...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matendo ya kimaskini yanachochea umaskini. Jitahidi uyaepuke

    Ishara kubwa au alama kubwa ya umaskini ndani ya mtu ni hali ya maisha yake. Daily routine ya mtu inatoa jibu kuwa huyu mtu ni maskini , tajiri au mtu wa kipato cha kati. Matendo ya kimaskini ni pamoja na ; 1. Kuomba punguzo kila bidhaa anayonunua. Akiambbiwa suruali hii inauzwa sh. 25000...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa haya majibu ya lissu itoshe kusema Chadema ni wa kuogopwa kama ukoma

    Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni, Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha, Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makosa watu huyafanya na kuwagharimu kwenye ngumi za Mtaani (Street Fights)

    Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii, tulichotofautiana ni viwango tu, Unaweza ukawa unajenga nyumba yako mmepishana kauli na fundi kiasi cha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuisimamisha Israeli kwa huu ubabe anao onesha Mashariki ya kati?

    Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa Serikali ya mapinduzibua Irani...
  11. JamiiForums Tanzania KIROHO, Mbowe sio mwenyekiti hata akishinda hivyo kama yupo na Baba wake wa kiroho amsaidie kumpatia haya mafunuo.

    Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature . Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti. Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti. Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwemyeji wa Morogoro anidadavulie kuhusu haya maeneo.

    Wakuu kwema? Mm sijambo Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara. Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka...
  13. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maoni yangu:Kabla hujao boresha kwanza sehemu unayolala

    Ni maoni yangu yanastahili kupingwa,kuungwa mkono au kukosolewa ama kuboresha zaidi. Kwa mwanaume jambo ambalo unapaswa kulipa kipaumbele zaidi unapoanza maisha Yako ya kujitegemea boresha kwanza sehemu ya kulala. Kwanini napendekeza sehemu ya kulala iwe nzuri. Baada ya michakato,kazi ngumu...
  14. JamiiForums Tanzania Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

    Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake! Swali langu kwa wenje...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

    Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad...
  17. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rekebisheni madudu haya mliyofanya kwenye selection za wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2025

    Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
  18. JamiiForums Tanzania WANA CHADEMA TUSAIDIENI/MNISAIDIE KUJIBU HAYA MASWALI MAANA SIPATI MAJIBU.

    1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu? 2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura? 2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao...
  19. JamiiForums Tanzania Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tufanye haya mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga

    Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha. Ili tutembee kifua mbele kwenye Mzunguko wa Pili Kimataifa kwa hizo mechi tatu zilizobakia tunatakiwa tumshauri Kocha wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…