haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  2. JamiiForums Tanzania Atheist wanafahamu kuwa kuna ulimwengu wa roho?

    Wanayazungumziaje matukio kama haya? 1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo! 2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi na unabii wake ukatimia! 3. Uebert Angel alimtabiri mtu atakayechaguliwa kuwa Papa mpya na hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka. Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa. Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda". Wife...
  4. JamiiForums Tanzania Zingatia haya akilini mwako

    Jambo la kwanza naombeni tumpe sana Mungu nafasi katika maisha yetu ikiwa tunayahitaji sana amani,,Tusiache kumwamini Mungu hata kama nafsi zetu zimebeba majuto , Maana kumwamini Mungu kunaleta roho ya kujiamini na ujasiri wa kuendelea na utafutaji wa siku zote.... ENDELEA NA (KUSOMA ) 🧵...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  6. JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi 😂😂

    Hospitali hakuna madawa, vitanda wala vifaa tiba Mashuleni hakuna madawati, vitendea kazi, walimu pamoja na vyoo. Vijijini na mijini hakuna maji pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara pamoja na usafiri. Makazini mishahara haitoshi na weledi umepungua kwa kiwango cha lami. LAKINI PAMOJA NA...
  7. JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ya ratiba siyo rafiki kabisa kwa Simba SC

    Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila naona kuna mapungufu makubwa. Tukianzia, nimeshangaa kuona game ya KMC vs Simba ya tarehe 11/05 bado...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameamua kugoma kula ili kushinikiza hukumu ya mahakama badala ya kukata rufaa. Madhara ya kutokula au kunywa yatakayompata haya hapa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  9. JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  11. A

    JamiiForums Tanzania Timu zetu ndogo za NBC Ligi haya yanayoendelea mnajitakia wenyewe

    Tulishatoa ushauri humu kwamba mtengeneze umoja wenu..na ikiwa itawafaa msusie kuendelea na michezo ya ligi iliyosalia hadi mtakapohakikishiwa michezo yenu itachezeshwa kwa haki kwa level sawa na vigogo wa ligi. Shida ninayojaribu kuinote hapa huenda ni kwasababu 70% ya timu za NBC ligi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Unakumbuka yale ya AGP Siro na Dereva wa Tex kumteka Mo? ndio haya ya mtu mmoja anashikiliwa kwa kumdhuru Dr Padri Kitima

    Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa. Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
  14. JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  15. JamiiForums Tanzania Kama unataka kununua ardhi zingatia haya

    Unapokuwa unatafuta kununua kiwanja, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa kama vile eneo na ukubwa wa kiwanja, hali ya kisheria ya umiliki, na hati za umiliki. Pia, hakikisha unafanya uchunguzi wa kina kuhusu eneo hilo ili kuepuka udanganyifu na utapeli. Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume Haya Tuliyataka Wenyewe

    Huko nyuma wazazi wetu na wazee wetu waliishi na bibi zetu na mama zetu,hali ya kuwa wanaume ndio watafutaji na ilikuwa hivyo siku zote,wala hawakuhofia sijui sisi tukifa watoto wetu wataishi vipi? Kwasababu anayetoa riziki ni Mungu,kwahiyo hata kama hao walipo kufa Mwenyezi Mungu aliendelea...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ni Maeneo Matatu ambayo Katika Uislamu unaruhusiwa KUSEMA UONGO - (GHILBA) na wala si dhambi

    Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
  18. JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania Haya madada ma-giant yanecheza mchezo gani huko Korea,yamenivutia kweli

    Nimevutiwa nayo haswa hivi nataka nifunge safari kwenda Korea nikalipate hata moja nirudi nalo bongo,licha ya kuwa ma-giant ni marembo haswa,sio wanawake wetu wenye udumavu huu upwiru unatutesa mno
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

    Ukifika polini/mbugani utaona Simba wakiwala swala ili waishi japo swala nao Wana taka kuishi ila Wana kula majani amabayo nayo Yana taka kuishi Ukienda baharini utakuta samaki wakubwa Wana Wala samaki wadogo ili waishi japo samaki wadogo nao wanataka kuishi na wanakula wadudu wa baharini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…