Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran
Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu
Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo...
Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi.
Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
Hamjambo!
1. Ni Makosa kuamini watu wa nje wanaweza kutupenda kuliko tunavyopendana wenyewe kwa wenyewe. Hilo ni kosa.
2. Nitazungumza kisaikolojia alafu nitachanganya na siasa kidogo. Ambapo kote kunahusu mahusiano baina ya watu ndani ya jamii au taifa na kimataifa.
3. Kisaikolojia binadamu...
Tanzania inapitia moja ya sura zake za giza zaidi tangu kupata uhuru. Matukio yaliyoambatana na uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025—uliogubikwa na madai ya ubakaji wa demokrasia, na ukandamizaji mkali wa maandamano ya vijana—yameitikisa nchi ambayo kwa muda mrefu ilijivunia utulivu wake. Mamia ya...
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika.
1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
Leo hii, vijana nguvu kuu ya taifa, chemchemi ya matumaini tumezuiliwa kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Tumezuiwa kuzungumza, kuuliza, kushiriki, na hata kufikiri kwa uhuru tuliozaliwa nao. Swali linabaki: Nchi hii ni ya nani?
Kwa nini tunaishi kama wageni katika ardhi tuliyoirithi kwa damu na...
Embu tufundishane sheria zinasemaje.
Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa.
Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao.
Hata vyama vya siasa...
Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
1. Vituo vya kura
2. Sheli za mafuta
Leo naongelea eneo la pili, "Fire/Fuel is the key"
Ndugu wa Tanzania ikitokea mko karibu na kituo cha mafuta na polisi wameamua kutumia nguvu nyingi, kimbilieni eneo la Sheli ya mafuta kwa sababu hawawezi kurusha silaha yoyote ya moto, wakirusha Sheli...
Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo
Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote.
Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale.
Mmoja wao...
==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
Kwa wafuatiliaji wa siasa Polepole si mzalendo wala hawezi kuwa mwanaharakati.
Anayosema leo yameanza leo? Kutekwa watu, kupotezwa ndio mara ya kwanza?
Mbona kipindi cha Magufuli hakuongea haya? Eti Musiba Junior nae anaungana nae kweli?!! Mbona Watanzania tunakuwa watu wa kujisahau sana...
Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda.
Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
Kiko wapi Sasa!!?
Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!?
Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo)
Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.