hawana

Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Comfort Zone imedumaza Akili za Wana CCM Hawana Ubunifu Kabisa

    GT Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM. Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
  2. BODI inalamba matapishi yake hahaaa ...wameliwa juzi derby vipi ooh YANGA wanaijua tar hawana mda WA kujadili Leo mnajadili xxxxxx

    HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi watachexa wanajua
  3. Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  4. Kwanini vijana wa SUA hawana ajira?

    Hello JF... Leo nauliza kwa nini wanafunzi wa SUA hawana ajira.??? Wenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira... Kwa nini serikali isijenge vyuo vingi vya Kilimo watu wasome... Watu kuanzia waliomaliza darasa la saba mpakla form six waliofeli waingie kwenye hivyo vyuo wasome...
  5. Shukuru Mungu Kwa Maisha Uliyonayo Wengine Hawana Kabisa Pa Kuanzia, Tujifunze Kusaidiana

    Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa. Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
  6. Je ni kweli asilimia kubwa ya wasio na kisogo(flat screen) na walio na flat kipandauso wanakuwa hawana akili?

    Kumekuwa na hizi tetesi kwa kipindi kirefu sasa. Kuwa wasio na visogo au walio flat kisogoni asilimia kubwa huwa na ubongo wao unakuwa umebonyea kiasi flani hivyo wanakuwa hawana sana akili. Lakini pia na walio na kichwa ambacho hakina komwe kabisa nao hadi kwenye ubongo nao unaenda unabonyea...
  7. Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ?

    Ni kweli watu wenye vichwa vidogo huwa hawana akili ? Mfano wale ndugu zetu wa kale kanchi kadogo. Jaku boy n.k
  8. Magaidi wa Hezbollah wanachapwa kipigo cha Mbwa-koko na hawana uwezo tena wa kujibu Mapigo!!

    Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!! Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya...
  9. Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  10. Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
  11. CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  12. Appartments design 2bedrooms ,lounge kitchen 2verandah . Plot of 600sqm 4units call us for design and construction services

    SISI TUNAHUSIKA NA DESIGN + UJENZI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  13. Je, ni kweli viongozi wao(CHADEMA) hawana misimamo?

    Katibu wa CHADEMA Ilala, Elizabeth Mambosho, leo anamshambulia Lissu, juzi alimsifia. Hii ndiyo CHADEMA ya sasa—hakuna msimamo, hakuna mshikamano. Kila mmoja anacheza upande anaohisi utamfaidi. Siasa za mivutano zisizo na dira.
  14. Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  15. K

    G-55 Hawana hoja zaidi ya udalali

    Tatizo la G-55 ni uchumi wao sio kutukanwa wala kunyanyashwa. Mbona hayo matusi hatujayaona ??. No reform no election Wake wa viongozi wawili ni Covid 19. Tujiulize tu je nani ali sign kwa niaba ya Mnyika kuweka wake zao bungeni? Walikuwa wanaibia na kufanya ubabe wa kuwaweka wawapendao kwenye...
  16. J

    PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  17. Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  18. R

    Je, ni kwanini askari wetu wengi hawajui kuwasiliana kwa Kiingereza?

    Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni 🙏
  19. R

    Tuna tatizo la kimfumo, Polisi na wanaCCM hawana shida

    Hellow! Hasira inaruhusiwa, ila hasira lazima iwe na limit, usikasirike Hadi kuwa wendawazimu. Tatizo lililopo nchini petu ni la kimfumo, Kwamba katiba tuliyoitengeneza kwa Nia njema kumpa kiongozi Mkuu mamlaka makubwa Ili kutenda haki na Majukumu yake bila kusumbuliwa, mwanya huo ndio...
  20. M

    CHADEMA hawana tena mbinu zimeisha wanasubiria miujiza

    Ukiangalia matukio yanayotokea dhidi ya viongozi na wafuasi wa chadema ni wazi kabisa kama wameishiwa mbinu na wanategemea Mungu atende miujuza Ukisoma tweet za lema au heche unasikitika sana na unajiuliza hivi hawa ni viongozi kweli hivi unafikiri aman au mabadiliko yataletwa mezani serious...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…