hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatua Za Kujijengea Uhuru Wa Kifedha

    Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wamekuwa wanasumbuka na fedha kwa maisha yao yote. Tangu wanaingia kwenye umri wa kufanya kazi, wanafanya kazi kila siku na kwa maisha yao yote. Lakini kwa bahati mbaya sana, bado wanakuwa hawafikii hatua ya kuweza kuishi aina ya maisha wanayokuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Zipi hatua za kisheria za kuchukua juu ya hospitali kwa uzembe kwa mgonjwa

    Kwanza, niwapongeze Wahudumu wa afya wenye moyo wa dhati na wanaozingatia taaluma na uadilifu kuhudumia wateja wao. Nakiri maisha ya wengi ikiwemo mimi binafsi yana mchango wa wahudumu wa afya. Hata hivyo, nimekutana na matukio kadhaa ya makosa ya uzembe wa wazi wa baadhi ya wahudumu wa afya...
  4. JamiiForums Tanzania TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

    Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
  6. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia, kama vijana wa nchi hii, tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo, tangu mwaka 1995 mpaka sasa, hakuna chama hata kimoja ambacho kimethubutu kuiondoa ccm na kushika Dola! Zaidi tu tunaona ni vyama vyenye malengo ya kujikimu...
  8. JamiiForums Tanzania Wasiolipa kodi ya pango la ardhi wapewa siku 30

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametoa siku thelathini (30) kwa wamiliki wote wa ardhi wanaodaiwa Kodi ya Pango la Ardhi ambao hawajalipa hadi sasa kulipa kodi husika na baada ya muda huo kupita hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Waziri Silaa ameyasema...
  9. JamiiForums Tanzania Mawazo huru: Muungano wetu Upige hatua 1 mbele

    Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu. Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi. Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  11. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe. OK ipo hivi.... Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia ingilia kati rushwa zinazofanywa na hakimu wa wilaya Chato. Mkurugenzi wa PCCB amefeli kuchukua hatua. Ni juu ya uvuvi haramu Rubondo

    Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote. Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
  14. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  15. JamiiForums Tanzania Tunaishukuru Bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuchukua hatua

    Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania. Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo...
  16. JamiiForums Tanzania Macheyeki: Serikali Ichukue Hatua za Madhubuti Kudhibiti Upandaji wa Mafuta Nchini

    Kwa miaka mitatu ya bajeti kuanzia 2021 hadi 2024 pamekuwepo na tatizo la kupanda kwa gharama za mafuta ya Nishati (Petroli, Diseli na mafuta ya taa). Vile vile, robo ya pili ya mwaka fedha unaoishia Juni, 2024 tuliona kuongezeka kwa changamoto ya upatikanaji wa mafuta (uhaba wa mafuta). Tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania Bashungwa kuchukua hatua kwa Mameneja wazembe TEMESA, ataka majina kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  18. JamiiForums Tanzania Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Wakuu, Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza! Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu. Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza. Sababu kubwa ni kua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…