hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya

    Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya By Mgongo Kaitira Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya kwa kwa njia ya amani kwa kutumia ibada zinazoendeshwa katika makanisa mbalimbali jijini Mwanza...
  2. JamiiForums Tanzania Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

    Habari wadau! Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote. Ndoto yenyewe: Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  4. JamiiForums Tanzania Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

    Bibie akikandia kuchanja covid kivyake vyake!
  5. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
  6. JamiiForums Tanzania Stroke inaweza kumtokea mtu yeyote na ni hatari

    Tupo wanne tumetokea kuelewana na kuwa marafiki wakubwa. Rafiki yetu mmoja amefanikiwa kujenga nyumba nzuri tu ya ghorofa, anaishi na mume wake na mabinti zao wawili. Weekend moja alitulika katika sherehe ya mtoto, hatukua wengi sana, kwakua sherehe ilikua ni ya watoto, yeye na mume wake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapenzi Kinyume na Maumbile ni hatari, usijirahisishe

    Habari yako, Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu mashallah! Msambwanda asilia nimejaliwa sio wezere la kuvalia kigodoro yaan nina kila kigezo cha kuitwa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ni hatari kwa kupiga pesa. Hata Wazungu wanatutambua

    Hii nchi ndogo ya Kenya inaogopwa hata na Wazungu. Wakenya kwa kutafuta pesa ni hatari sana. Sasa wanafunzi lazy wa Marekani ambao hawataki kufanya homework huwa wanatuma homework huku Kenya ili vijana wa Kenya wawasaidie kufanya homework yao. Hata mitihani pia Wakenya wanafanya kwa niaba ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya watu ambao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria

    Habari wadau! Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote. 1. Wajawazito 2. Vibonge 3. Wakimbiaji (joggers) 4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao 5. Walevi 6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Waafrika wanapaswa kuwa watu wa mwisho kulalamika kuhusu chanjo ya Corona

    Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu chanjo ya Corona katika nchi nyingi za Afrika. Baadhi ya viongozi wa dini wamedai chanjo hiyo inalenga kupunguza idadi ya watu weusi kwa kuwazuia kuzaliana, na wengine wameihusisha na chapa ya 666 inayodaiwa kuwa ya Mpinga Kristo. Kufuatia madai hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano Dar, Dodoma, Dodoma Arusha. Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
  12. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake, hatma ya Watoto

    Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake na Hatma ya watoto

    Ondoka, nenda kwenu, mwanamke gani wewe, beba mizigo yako na watoto wako, sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini. Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa imevunjika, kidudu mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano wa hadhara na Mpira wa hadhara kipi ni hatari kwa maambukizi ya Covid 19?

    Tanzania ni yetu sote hebu tuutangulize utanzania na Mungu mbele. Tunapofikiria kuzuia maambukizi ya Covid 19 kwa kuzuia mikutano ya kisiasa tufikirie pia kuzuia maambukizi kwenye viwanja vya mpira wa miguu kwakuwa watu ni walewale. TFF kupeleka mechi ya Simba na Yanga Kigoma kwenye uwanja...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa. Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono...
  17. JamiiForums Tanzania Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

    Four days after the Electronic and Postal Communication Act (CAP 306) came into effect, the Tanzania Mobile Network Operators Association (Tamnoa) has said the business has dropped drastically, therefore asking government to amend the new charges. In efforts to raise its revenue collections by...
  18. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kubeba mikoba ni hatari kwa afya?

    Umewahi kujiuliza huwa unaweka mahali gani mkoba wako na je, kuna usalama wa kutosha kwa afya yako? Kawaida watu wengi huweka mikoba juu ya meza, viti, madawati ya baa, hotelini, vibaraza vya vyooni, wanachoangalia ni mahali pasafi. Wataalamu wa afya kutoka taasisi ya kisayansi ya Advanced...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna hatari kizazi hiki kikaaminishwa kuwa Tundu Lissu ni moja ya Watu wabaya na sio wazalendo kwa Taifa

    Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli. 1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe. 2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo...
  20. JamiiForums Tanzania Unene wa kiwango hiki ni hatari kwa afya

    Katika video hii [emoji116][emoji116] iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi. NB:itoshe kusema UNENE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…