hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  2. A

    KERO Chemba za Baa ya Lavipark - Tegeta zinatiririsha maji machafu barabarani, ni hatari kwa afya

    Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
  3. Hatari kwetu, Kwao salama sana

    Kuna barabara bongo unaweza kujiachia kiasi hiki?
  4. Serikali iweke sheria kali kwa wenye tabia ya kuvuta sigara hadharani ili tuepukane na maradhi sababishi kutoka kwa wavutaji sigara hadharani

    Nadhani Serikali Iweke Adhabu Kali kwa Yeyote Atakaevuta Sigara hadharani. Maana haiwezekani Tuleteane Magonjwa ya cancer za Mapafu kwa Ajili ya Starehe ya Mtu mwingine. Mtu ananunua Sigara Dukani Anawashasha hapo hapo halafu anapuliza Moshi watu watu wengine wanavuta limoshi lake. Hii...
  5. P

    Naona wafrika weusi ni binadamu hatari sana

    Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
  6. Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

    "Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro." "Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika...
  7. Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

    TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili...
  8. Endeleeni tu Kujidanganya na Jeshi lenu kuwa ndiyo Bora wakati wenye Majeshi bora, imara na hatari Afrika wala hawajisifu ila Wanakubalika na Kazi yao

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  9. Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana. Haijalishi miaka mingapi...
  10. CCM inasiasisha usalama wa nchi yetu. Ni HATARI!!!

    Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist tulielewa. Huko tulikotoka kabla ya mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporudishwa tena, mambo ya...
  11. Mambo matano hatari ukiwa CCM, moja lilimkuta Comrade Chongolo

    Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
  12. Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
  13. M

    Kambi ya Chumbi ni hatari Kwa waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa. Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama Kwa kuwa eneo la Kambi Mvua ikinyesha Bado maji yataingia ndani ya Kambi husika Mazingira ya vyoo...
  14. Madini ya Uranium yenye faida kubwa na hatari kubwa

    Uranium ni elementi ya kemikali yenye alama ya kikemia U na namba atomia 92 katika jedwali la elementi. Ni metali tekevu yenye rangi ya kijivu-nyeupe na ina uwezo wa kuwa na mionzi ya sumaku umeme. Uranium ni mojawapo ya elementi zinazopatikana kiasili duniani na iliumbwa wakati wa michakato...
  15. Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  16. Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka. China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka. Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini IRAN pia ilinyonga watu...
  17. Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    -- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa -- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa -- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa...
  18. Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  19. A

    DOKEZO Hali ya Choo cha MV KOME II ni hatari kwa afya na usalama wa Watumiaji

    Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri huo. Kivuko hicho kwa sasa hakina huduma bora ya choo kwani choo kilichopo ni kibovu kimejaa matobo...
  20. Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…