hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Bams

    Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  2. GENTAMYCINE

    Wangapi hapa JamiiForums tulikuwa tunamjua huyu Nyoka HATARI asiyeuma, ila anatema Mate yenye Sumu aitwae Fira?

    Mwenye Kamusi mpya kabisa ya maneno mapya ya Kiswahili Fasaha ya TUKI aende katika Ukurasa wa 126 akamjue huyo Nyoka HATARI kabisa aitwa Fira. Nyoka Fira hatari acheni masihara.....!!
  3. G

    Kwa hali ya sasa ni hatari zaidi kugombana na askari kuliko mganga, Hawa watu ni ngumu sana kuwajibishwa, Asiesikia ajiandae kisaikolojia

    Navyosema kugombana ni kuingia kwenye 18 zao hata kama wewe hujafanya kosa, jiepushe na mazingira hayo Kwa matukio yanayozidi kuendelea ambayo wengi tunayasikia imekuwa ni wazi hawa watu wana kinga kubwa sana, hata kukiwa na ushahidi uliosambaa nchi nima na watu kwa pamoja kudai haki bado ni...
  4. MwananchiOG

    Mfahamu mtu hatari zaidi Yanga

    Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto iliyochukua ubingwa CAFCL jamaa alikuwepo. Uhatari wake haupo pale anapokuwa ameketi. Shida huanza...
  5. G

    Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  6. Salahan

    Kwani kuangalia Movie Na Series Ni Hatari Kwa Afya Yako

  7. Hismastersvoice

    Kilevi hiki ni hatari kwa taifa japo kina faida kwa wanasiasa

    Wajanja wa nchi hii wametuletea kilevi hatari kwa taifa letu, kiasi kimekolezwa na kesi za akina Magoma zinazoipotezea muda mahakama zetu. Wakati bodi ya vilevi hairuhusu baa kuuza pombe saa za kazi lakini bodi hii TCRA inaruhusu walevi wake wanshinde kutwa nzima eti wasikilize uchambuzi na...
  8. Introvert Music

    Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

    Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
  9. GENTAMYCINE

    Kisaikolojia katika Jamii yetu yoyote mkiwa na Mtu asiyeeleweka eleweka ni HATARI sana kwani Binadamu ni lazima uwe na Upande juu ya Jambo fulani

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  10. P h a r a o h

    Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

    uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami, Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
  11. Hyrax

    Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
  12. FRANCIS DA DON

    Video clip: Akili mnemba zimefikia level za hatari sana, tukizubaa, binadamu wote tutapoteza ajira

    Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko tuendako, hata wahandisi na wabunifu majengo lazima tutakwenda na maji. Hata madaktari (Medical)...
  13. M

    Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  14. mwaibile

    Masingle moter hatari kwa malezi ya vijana wetu

    Natumaini wikiend iko poa sana twende kwenye mada kuna jamaa yangu mmoja napiga nae mishe yani ni shida kila jambo ukiongea nae au mkashauliana bas lazima lifike kwa mama yake uzuri mama yake baadhi ya biashara namuuziga kwaiyo ananiambiaga nilichokuja kugundua jamaa makuzi ya kulelewa na single...
  15. M

    Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh

    Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
  16. realMamy

    Mungu atulinde na hatari za usiku huu.

    Kwa tulioyaona Matendo ya Mungu kwetu na jinsi alivyotuvusha katika hali ngumu tunajua atatenda sawasawa na Mapenzi yake. Amina
  17. Mkalukungone Mwamba

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi na watatu malizia ni nani?

    Wanawake 3 hatari zaidi , mke wa mtu, mwanafunzi watatu malizia ni nani?
  18. Empty container for sale

    Sehemu hatari kuishi ni uswahilini na kijijini.

    Kuishi kijijini - ukikaa kijijini kufanikiwa maisha kiasi cha kummiliki mali ni ngumu Sana hii ni kwasababu zifuatazo. -Uzinzi -Pombe -Ukosefu wa maarifa. -Kukaa na watu wenye mawazo duni -fixed mindset and conservative. Kijijini ndo sehemu ambayo unakuta mtu anayeitwa tajiri ni mchafu Sana...
  19. S

    PreGE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  20. S

    Nimekoma kula misosi ya dezo toka kwa mademu wa kibongo, ni hatari nilidhani napendwa kumbe ndio wananiumiza

    Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic...
Back
Top Bottom