hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Marcy

    Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  2. A

    KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  3. M

    Mgogoro na Hatari ya mgogoro wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Wamaasai watarudi maeneo yao na wataanza kuyapigania, hivi ni vipeperushi vitakavyokuwa kwa lugha ya Kiswahili na kiamaasai CCM imetaka kuunda Palestina hapa nchini
  4. A

    KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  6. M

    Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
  7. VN Warehouse Limited

    Hatari ya Kuruhusu Mikopo Kwenye Biashara Changa

    Biashara inapokua bado changa inahitaji uangalizi mkubwa sana kuliko kipindi chochote kingine. Hiki ndio kipindi ambacho mmiliki wa biashara anajifunza mambo mengi kwa vitendo. Unaanza kutengeneza mtandao wako wa wateja, unaanza kuelewa ni bidhaa zipi zinatoka kwa kasi zaidi, na pia unapata...
  8. Bwege2030

    ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  9. Foffana

    Huyu jamaa hatari sana humu

    Wanamuita Steven Joel Ntamusano Huyu jamaa kweli anastahili kuitwa Great thinker nimemuona kwenye mijadala mingi anayoshiriki yeye ndo huwa anaibuka kidedea bila matusi, bila kashfa yaani unaeleweshwa na unatoka umeelewa kongole sana Mkuu endelea kutupa Elimu
  10. Kubwjing

    Nilionya sana kuhusu kutokea kwa WAASI hapa nchini, sasa tunaelekea pabaya, na hili litaweza kutokea Wallah,

    Habarini Wadau, Niliandika Mada kuhusu WAASI, kuwa ni Watu hatari kwasababu ni watu wanaokuwa na silaha kutoka kwa wadhamini na ni silaha nzito pengine kuliko au sawa na za Walinzi wa Taifa (Wanajeshi) Tuwajue kwanza wanaoitwa Waasi: WAASI NI WATU GANI? Waasi ni Wananchi au Raia au Wanajeshi...
  11. Imani rubaba

    HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  12. ELI COHEN

    WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: 🚬 Uvutaji Sigara / Nikotini 2. 🍺 Pombe 3. 💉 Heroin 4. ❄️ Kokeini 5. 💊 Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. 🧪 Methamphetamine 7. 🎰 Kamari 8. 📱 Uraibu wa Smartphone 9. 🌐 Mitandao ya kijamii 10. 🎮 Gemu (ps4, x-box, etc) 11. 🍔 Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  13. ELI COHEN

    WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: 🚬 Uvutaji Sigara / Nikotini 2. 🍺 Pombe 3. 💉 Heroin 4. ❄️ Kokeini 5. 💊 Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. 🧪 Methamphetamine 7. 🎰 Kamari 8. 📱 Uraibu wa Smartphone 9. 🌐 Mitandao ya kijamii 10. 🎮 Gemu (ps4, x-box, etc) 11. 🍔 Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  14. Abraham Lincolnn

    Bunge lisilo na meno na hatari ya kuuza akiba ya dhahabu

    1/ Baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na damu, hofu na tuhuma nzito za kukosa haki, Tanzania imejikuta ikipoteza imani ya mataifa na mashirika mengi ya kimataifa. Matokeo yake? Misaada na ushirikiano wa kifedha kusimamishwa au kupunguzwa. 2/ Badala ya serikali kuwa wazi kwa wananchi...
  15. T

    Serikali kuuza dhahabu ni jambo la hatari kuliko tunavyofikiria

    1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni kiranja mkuu kila siku tunamuona Trump anahangaika kuiokoa dollar kwa sababu maji yamefika shingoni...
  16. M

    Lugola: Machawa kundi hatari, wanajificha mafisadi na wabadhirifu

    Kangi Lugola adai kundi la machawa tushio kwa mipango ya Rais Samia kuwaacha Watanzania na Tabasamu Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ametoa maneno mazito Bungeni akidai kuna kundi la machawa ambalo litaenda kumkwamisha mipango ya Rais Dkt . Samia ya kuwaacha Watanzania na tabasamu baada ya muda...
  17. A

    KERO Taa za barabarani TAZARA na Ubungo zinazimwa mara nyingi, ni hatari

    Hivi karibuni hatuelewi ni utaratibu upi ila ukipita makutano ya barabara TAZARA na Ubungo na sehemu nyingine hata Uhasibu unakuta taa zimezimwa na traffic Police hawapo, magari yanajiendesha yenyewe kiasi inakuwa hatari sasa kwa madereva. Tunaomba ufumbuzi kwenye hili kwa mamlaka husika
  18. stabilityman

    Mauaji ya Kim Jong Nam 2017 kwa sumu hatari zaidi duniani Nerve agent vx

    Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017 Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia. Alikuwa akiishi uhamishoni tangu mwaka 2003 baada ya...
  19. M

    Kuna hatari Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka

    Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba. Kobazi wanajukumu gumu mbele yao, 1. Kuua watu kama Samia alivofanya 2. Kukubali kuaguka https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597...
  20. Chizi Maarifa

    Huu Mwaka Umeanza vizuri. Hatari sana Hii inaombwa kuchakatwa yenyewe

    Ukiwa na vijjcent Tz mambo yanaenda mswano. Ntachelewa kuondoka Tz nizile zile kidogo nikirudi kwa watu nikawe nachapa kazi. Huku nachapa K tu kwa sasa. Hii yenyewe imejiinamisha mbele yangu... Mwaka umeanza vizuri kwa kweli.
Back
Top Bottom