Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu
Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.
Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia...