hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Dunia haina usawa - hata wajinga kabisa wanapata pesa za hatari

    Dunia hii haina usawa. hasa hasa hapa Africa yaani Tanzania..Unakuta mtu umesoma hadi Masters ama hata PhD ya sayansi sasa unajikuta unatungiwa sheria za nchi na form four na div 4. Hii kwa kweli mimi binafsi inaniuma - inauma saana. Sera za nchi huwa zinatungwa na watu wasomi makini.. siyo...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanaume ambaye hana muda na usafi / utanashati ana haki ya kutongoza Wanawake?

    Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake. Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ? Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo Kuoga kwake ni shida na maji...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Biblia inaweza kukusaidia hata kama hutaki kwenda Mbinguni

    1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao. 2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke. 3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. Taarifa: Ikulu Tanzania Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa kawaida pia wanaweza kuweka historia, hata kusafiri anga za juu

    Aprili 16, wanaanga watatu wa China waliokwenda anga ya juu kwa Chombo cha Shenzhou No. 13 walirejea nyumbani salama wakiwa na hali nzuri kiafya. Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, wanaanga hawa waliweka historia mbalimbali mpya katika sekta ya safari za anga ya juu ya China. Wanaanga hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
  10. JamiiForums Tanzania Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe hata mama yake Zitto ni kilema?!

    Sikufahamu kwalo! "...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!" Mdau. Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
  12. JamiiForums Tanzania Johnny Depp adai hata angepewa offer ya $300 milion, hawezi kuwa tena Jack Sparrow

    Najua wengi wenu wapenzi wa franchise ya The pirates of the carribean. Na najua bila shaka mnaipenda kwasababu ya Captain Jack Sparrow ambayo ni character inayochezwa na Johnny Depp. Ila kwanza watengeneza movie walikuwa washaamua kwamba hatahusika tena katika movie hiyo kutokana na scandal...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dah! Bora hata ningefukuzwa kazi

    Nawasalim wote Saa 7: 26 AM kila nikiamkaa nashindwa mwili na moyo havina ushirikiano, Nahisi kuzimia macho hayako sawa Nimechoma account yangu ya dollar 7400 forex usiku wa kuamkia tarehe 20/4/2022. Nilikuwa nakimbizana kutuma ripoti za VAT return usiku, network ya TRA ilikuwa chini nikaona...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msemo wa jadi wa kichina: “Mtu hapaswi kubadili ahadi yake au kuacha harakati zake hata kama anakabiliwa na hatari”

    Mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao ulifanyika kuanzia Jumatano hadi Ijumaa wiki hii huko Boao, mkoani Hainan, kusini mwa China. Kauli mbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “COVID-19 na dunia: kuhimiza kwa pamoja maendeleo ya dunia na kujenga mustakbali wa pamoja”. Kuna msemo mmoja wa Kichina...
  15. JamiiForums Tanzania Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

    Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani huwa zinatumiwa na viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kuomba hata msibani

    kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM: Malalamiko ya Kipuuzi ya Kocha wa Orlando Pirates FC hayayahusu Simba SC hata kidogo na popote pale

    "Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni Masuala ya Jeshi la Police na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu Hoteli...
  19. JamiiForums Tanzania Titanic: Siri nne zisizojulikana hata baada ya miaka 110 ya kuzama kwa Titanic

    Kwa msaada wa bbc Miaka 110 iliyopita, Titanic iligongana na mwamba wa barafu wakati wa usiku wa giza. Wakati huo abiria wengi walikuwa usingizini. Wakati ajali hiyo inatokea, meli ya Titanic ilikuwa ikitoka Southampton, Uingereza kuelekea New York, Marekani, kwa mwendo wa kilomita 41 kwa saa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…