hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Salaam Wakuu, Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa. Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
  2. JamiiForums Tanzania Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Wakuu kwema! Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka. Juzi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu huna credibility yoyote ya kukanusha taarifa yoyote na watu wakakuamini, hata hili la Ngorongoro

    Huyu waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni nimemsikia akisema kuwa habari zinazoenezwa mtandaoni kuhusu Loliondo hazina ukweli na hakuna askari yoyopte aliyeenda mbugani na silaha kutishia wananchi, pengine ningemuamini kwa kiasi fulani lakini hili la kusema hakuna askari aliyeenda mbugani na...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi ya Chad inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja kwa dini zote, Nusu ya wanaume wakristo wana mke zaidi ya mmoja, Je ukristo unawabana wanaume?

    Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume. Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

    BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan, Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money"...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda alidhibiti wavuta shisha na huyu Amos Makalla ameshindwa kila kitu hata uhalifu wa vibaka

    SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA? Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
  8. JamiiForums Tanzania Acha niseme hata kama mtanichukia...

    Wanaume tunatafuta pesa kwa jasho sana.. ukiacha sisi wachache ambao tunakula kwa ulaini kidogo. ila wanaume wengi ni wapumbavu. wanaenda kufanya kazi ngumu sana. katika mazingira magumu sana.mwisho wa siku wanaenda kuhonga.. wanahonga pakubwa wanabakiza kiasi kidogo . Tena unaweza kuta wana...
  9. JamiiForums Tanzania Haileweki kama sasa CHADEMA ni wapinzani au waganga njaa. Maana hata njaa walizotegemea kupozwa hazijawatoa mrithi. Wajanja wachache wameshiba kidogo

    Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo. Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati. Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa. Njaa za kushibisha matumbo njaa! Wananchi wanaona kwa macho. Sasa mmeambulia nini? Wakiopata chochote kitu ni Mbowe na wajanja wachache.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Habari za ndani kabisa zinasema: 1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa 2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

    Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una...
  12. JamiiForums Tanzania Mitume walikuwa wanaomba kuombewa na wafuasi kipindi wanafanya huduma. Kwanini mwingine anaombewa hata baada ya kufa?

    Mtume Paulo aliyaomba makanisa ya Rumi, Efeso na lile la Korintho yamuombee ili injili iweze kufika mbali zaidi kwa kinywa chake. Alipomaliza huduma aliaga katika barua kwa Timotheo kwamba ameilinda imani na kwamba anaenda zake kwenye taji aliyowekewa. Mtume Petro naye alikumbusha kuombea...
  13. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Urusi cha "58th army" chafyekwa bila kusazwa hata mmoja

    Sijui Putin huwaambia nini wazazi wa hawa wanajeshi wanaouawa kama senene. ___________________ KATERYNA TYSHCHENKO - Tuesday, 24 May 2022, 21:46 According to an intercepted conversation of a Russian serviceman, Russia’s 58th Army, which the aggressors themselves called one of their leading...
  14. JamiiForums Tanzania Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

    Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi. Mtu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hii kauli " Rais kaleta hiki kafanya hiki" husemwa hata kwa wenzetu au ni hapa tu?

    Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali. Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao. Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaccm wenzangu tambueni takwa la katiba Sio la CHADEMA ni la wananchi na wenye nchi ambao hata Mwenyekiti anawajibika kwao

    Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao. Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiingereza kilishawagomea ndugu zetu wa kusini, hata kwenye hafla za kitaifa

    Yaani tu yaani...
  18. JamiiForums Tanzania Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

    Wakuu.... Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini. Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao. Sasa lengo na...
  19. JamiiForums Tanzania Mahusiano miaka 10 hata harufu ya engagement ring hamna na Bado upo tu

    Hello Wadau!! Huu ujumbe kwa waleee wanajijua wenyewe nasubiri comments zenu za makasiriko. Yani mpo kwa relationship Toka upo chuo ulivyokuwa na 22 Hadi Leo uko na 32 na eti wamsubiria mtu. Ikifika weekend huyoo kwenda kupika, kufua nguo na kusafisha mazingira ya kwa msela Ili uonekane wife...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Sudan yakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula mwaka 2022

    Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo. Mchumi wa Sudan Bw...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…