hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ilivyo mitaani, hata aliyekuwa hataki ccm itoke madarakani, anaisagia meno!

    Tusidanyane! Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  3. JamiiForums Tanzania Waajiriwa mkishastaafu mnasumbua sana

    Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji. 📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu. 📌 Watumishi mnajishau...
  4. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura umechelewa mno Kuliamua hili kwani 99% yao ni 'Matajiri' pengine hata Kukuzidi Wewe 'Boss' Wao

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi...
  5. JamiiForums Tanzania Tunawashukuru watu ambao mmeoa maana hata sisi tunafaidika mabachela tusio na kitu

    Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

    Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu. Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu. Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

    Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?. Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo. Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

    Alisema ni sawa na kujigamba una Afya. Maendeleo ndiyo kitu cha kujigambia
  9. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Makamu, bali tuulaumu uongozi wa juu hata kama haturuhusiwi kuongea ukweli

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu. Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe kutoka kwa watu mbali mbali wakimlaumu makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu kwa kukimbia mapambano...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga msimwangushe Rais Samia jamani tupate tumwagilie. Magoli ya kutosha leo

    Kwa jinsi ilivyooo Naamini haitatuaibisha kama simba jana ile n aibu 3-0 na hela.Iko mezani Naomba tujitahidi magoli jaman na kama kaushindi kanawezekana mfanye hivyo kumpa nguvu raisi wetu nxtym.Atuwekee mil 10+ kila goli kama. Morali
  11. G

    JamiiForums Tanzania Majiji mengine yote yakiungana yanaweza kuifikia Dar angalau ile ya miaka 20 iliyopita ?

    -Hotels -Makazi -Starehe -Elimu -super markets -n.k
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapemba wakifiwa Marehemu atazikwa siku hiyo hiyo hata kwa Tochi, Chemli na Taa za Magari?

    Kuna nini Kimejificha hasa juu ya huu Utaratibu wao ambao kwa wanaopenda Kufikiri (Akili Kubwa ) wanaweza kudhani Wapemba wana Roho Mbaya na Wakatili?
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi Kilimanjaro Natives Cooperative Union (KNCU) kilivyowainua Wachagga na kuwafanya kuwa 'mbele' hata leo hii

    Ukisoma kitabu Desturi za Wachagga utaelewa kwa nini Wachagga wako mbele kuliko makabila mengi ya Tz. Kwanza kitu kikubwa sana kilichowatoa ni kupanda kahawa na kuwa na hiki chama Kilimanjaro Native Cooperative Union(KNCU) kama chama kikuu cha ushirika. Chama hiki kiliongozwa na mzungu kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

    Chawa wa mama Samia acheni ujinga
  15. JamiiForums Tanzania Tanesco na Miradi Lukuki ambayo Hata Pesa hatujui tutapata Wapi ?

    Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
  16. M

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro kama uraiani tu mnatubambikia bange mifukoni; je, tukiomba hizo lifti katika Difenda zenu si mtatubambikia hata vichwa vya watu?

    Bora nitembee na Miguu kutoka Mwenge hadi Tegeta Nyuki nitakuwa na Amani na pia nitakuwa nimefanya Zoezi la Kiafya kuliko Kuomba Lifti katika Difenda za Polisi Hawa wa Tanzania ninaowafahamu Mimi.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi tendeeni watoto wa wenzenu kama wa kwenu hata kama leo huna mtoto

    Wazazi na walezi wenye watoto hiki kinawahusu,baadhi ya wadada wanaotusaidia kazi nyumbani(house girls) wamekuwa na tabia za kufukuza bila kusubiri mwezi uishe kwa namna inavyo kera. Nilikuja kukagua shughuli za mradi Geita,baada ya kumaliza siku tatu nikampigia simu rafiki yangu anayeishi...
  18. JamiiForums Tanzania Tuzikatae ndoa kila iliyo sasa,leo , kesho na hata milele hapa duniani

    Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi. Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo. Wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  20. JamiiForums Tanzania Dizasta Vina hajamfikia hata songa, acha apambane na watoto wenzake

    Baada ya kuachia tribulation ngoma ya kumdiss rapcha naona ata ngoma zake zimeanza kupepea hewani hata wasomjua dizasta wamemjua Sasa. Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani wa kuimba kwa kusimulia mkasa tukio Fulani. Aige mifano Kwa songa, Nash mc Nikki mbishi max Cortez...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…