Ukiachana na msemo kwamba tumbo halina shukrani; hata lipewe chakula kizuri na kitamu kiasi gani, ni lazima baadaye litahitaji tena,
Ni kitu gani kingine unadhani hakina shukrani?
Umewahi kukutana na mtu asiye na shukrani?
Umetenda wema kwa uwezo wako wote, ukajitolea kadiri ulivyoweza Lakini...