hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wafungulieni wajumbe wapate hewa hata kidogo jamani!

    Yaani mambo mengine ni ya kikuda sana. Wajumbe ambao ni wapiga kura wa kesho wanalalamika vyumba walivyofungiwa ni vidogo sana hivyo hewa haipiti na kupelekea kuwa na joko kaki sana. Na bahati mbaya kuna giza nene kwenye vyumba hivyo baada ya umeme kuwa umekatika. Pia wanahoji kwanini...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ipi Jonathan Kapela kafunga hata goli?

    Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Lissu, na wanaCHADEMA wote wakiwamo Chawa na hata wabangaizaji. "Mbowe aachiwe uenyekiti hadi atakapojichokea!"

    Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu. Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa. Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa. Kwamba alipo ni heri chama kife ila hang'oki hata iweje! Looh! Roho za namna gani hizi? Kwamba ni kwa sababu anajitolea mno...
  6. JamiiForums Tanzania Hata Lissu akiwa M/Mwenyekiti CCM (sio CHADEMA) hana maajabu kisiasa

    Kwa Nguvu ya CCM Hata LISSU awe Makamu Mwenyekiti wa CCM hana madhara (Debe tupu).
  7. JamiiForums Tanzania James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Methali ya ajabu niliyopewa na mama mkwe wakati anakazia hoja yake, "aliyejamba hayaachi kunuka".

    Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia kuwa kumbe amejitahidi Hadi amevuna kidogo. Hii ndo ilikuwa respond yake, "ee baba, anayejamba...
  9. JamiiForums Tanzania Hata Lissu akishinda, BAWACHA na BAZECHA, na wajumbe wengine wa kamati kuu wasitoe ushirikiano wowote kwa Lissu

    Mbowe amedhibiti Baraza la Wanawake Chadema na Baraza la Wazee Chadema. Hata kama Lissu alishinda, taasisi hizi zisitoe ushirikiano wowote kwa Lissu. Pia wajumbe wa Kamati Kuu wa Mbowe wasishiriane kabisa na Lissu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuambatana na Kitenge kwenye jogging siyo dalili njema kisiasa; hata DP world ilianza kama ubuyu

    DP world ilianza kama ubuyu means tetesi na walioongoza huo ubuyu walikuwa wana habari. Walikaa kiti cha uzalendo wakidai wanawatetea wanyonge kumbe wanalo jambo nyuma ya pazia. Mhe. LEMA yupo too emotional kuliko wakati mwingine wote. Ni kipindi ambacho amezungumza hoja nyingi kuliko...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania tuheshimu kura zetu, kama CHADEMA sasa hivi wanatukanana, na hata kutaka kupinduana, ndio tuwakabidhi nchi? Hapana, tuwape muda kuwasoma

    Hawa jamaa chama chao hakijatulia kwa kiwango cha kupewa nchi au wabunge. Ndani kimeoza, kina vita, fitna, mapambano, husda. Mbowe alijaribu kuonyesha mambo yako sawa kwa busara zake kabla hajastuka kwamba msaidizi wake ni mteja wa mirembe na kinywa chake kimeoza Tuna familia, watoto, ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hiyo ya Lema huenda hata Magufuli kacheka huko alipo

    "...wote tulikimbia hapa. Hata yeye mwenyewe alikimbilia Dubai. TUNGEVAA MADERA ENDAPO ANGEBAKI HATA MMOJA WETU." Hahaha!
  13. JamiiForums Tanzania Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UCHAGUZI CHADEMA: BAVICHA waelewe bila Maridhiano hata huo Uchaguzi labda usingefanyika, punguzeni Dharau kwa Mbowe

    Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana. Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Lissu na wanaoitwa wahaini wote CHADEMA, Akili kichwani asiaminiwe mtu hata baina ya ninyi Kwa ninyi!

    Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa: Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje? Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani? Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
  18. JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

    "....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!" "....watu waliokuwa tayari kutufia, sasa wana kiona Chadema kama rafiki kipenzi wa CCM." Tundu.
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…