hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
  2. JamiiForums Tanzania Hata Mimi pia si tu ningemshangaa bali ningemdharau sana Pacome kama kweli angekuja Simba SC yenye Matatizo Milioni

  3. JamiiForums Tanzania Hivi najiuliza kama teknolojia zingekuwa Afrika sizani hata hivi tunavyovitumia vingekuwepo sasa kwa sababu ya tabia zetu kutokubali kukosolewa

    Ni metumia neno teknolojia ila nitabeba mambo mengi ambayo ndio yameleta maendeleo nchi nyingi.Ukiangalia kila siku simu yako janja apps zake au firmware zinaomba update kila siku sababu ya kurekebisha makosa ili uweze kutumia. Kwa mfano huu kama zingekuwa ndio afrika hakuna kitakachofanyika...
  4. JamiiForums Tanzania Janga la P.I.D linatesa sana wadada sasa hivi, poleni sana Warembo

    Ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, kwa kawaida huhusisha uterasi, mirija ya uzazi, au ovari. Mara nyingi husababishwa na bakteria ya zinaa, bakteria wengine, UTI iliokomaa na complications wakati wa kuzaa. Wadada wengi wanalia sana na hii issue kwa maana wengi wao wanakuja...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke hata miezi sita hatujafika na ashaanza kunipiga vizinga

    Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  9. JamiiForums Tanzania Wana CCM tusisikilize chochote hata kama tulikosea, Mgombea wetu ni mmoja tu

    1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite 2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa. Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
  10. JamiiForums Tanzania NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  11. JamiiForums Tanzania Nyufa ni kubwa sana hata mfiche vipi, CCM matatani

    Anaandika Kigogo NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 ni jambo zito na gumu sana kuwahi kutokea kwenye uhai wa CCM. Sababu za kitoto...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama kocha Fahdu Davis Kapendekeza Deborah Mavambo aondolewe Simba basi hata mm namzidi uwezo wa kufundisha

    Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo. Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni huyu polepole ana maisha mazuri tayari. Asituharibie watu wa chiini. Hata familia yake inaishi bahari beach kwa wakubwa

    Mama anjotahidi sana kuwanyanyua vijana kwa kuwapa ajira ambazo zinmwagwa daily kiti ambacho jpm aliamuaa makusdudi kuwaangamiza vijana kwa kutotoa ajira kwaa muda wake wote. Hata zile chache zilizokuwepo zilipotea kwa kuwa threaten wawekezaji waliokuwa wameajiri mamia kwa maelfu. Mfano...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume hata life likipiga u-turn usikubali kukaa kwa mwanamke

    Ushauri wangu kwa wanaume: hata maisha yakuchapa vipi, usikubali kukaa kwenye nyumba ya mwanamke wako Hata kama anakupenda kwa dhati, ipo siku utakumbushwa kuwa si kwako Jitahidi ujipange, hata kwa kidogo, ili ujenge heshima yako na nafasi yako kama mwanaume Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu sijui hata kama form 4 alimaliza lakini kwa hii treatment anayonipa nimesahau kabisa kufikiria elimu yake, I really love my wife

    Nilikutana na mke wangu 2018 nilipokuwa kikazi mkoani Kwa kipindi kile alikuwa na miaka 18, kipindi hicho nina 25, bado alikuwa mdogo hana hata simu, mimi ndie nilimnunulia meseji anaweza kutuma vizuri lakini mwandiko wake nilipoujua nilipata mashaka kama amewahi kumaliza form 4 lakini hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

    Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
  18. JamiiForums Tanzania Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara...
  19. JamiiForums Tanzania Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kumpitisha Ole Sabaya hata Mbingu itakasirika

    Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau . Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro. Inawezekana anavebwa na influence ya Baba yake ambaye ni kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…