“ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira.
My take:
Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana Simba