hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  2. D

    Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  3. G

    Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  4. D

    Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  5. R

    DOKEZO Mamlaka zijitahidi kuzuia wananchi wasigeuke kuwa "Wananchi wenye hasira Kali"

    Salaam, Shalom!! Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka. Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi...
  6. Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  7. Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
  8. Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  9. T

    Wanasiasa wanaotokana na hasira za kukatwa na vyama vyao na kuhama wachukuliwe kwa tahadhari!

    Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi. Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa...
  10. Watoto mara nyingi hulia kwa sababu ya hasira

    Kwa nini watoto hulia? Naamini kwamba tukiwachukua akina mama kumi wenye watoto wadogo na kuwauliza ni sababu zipi zinazopelekea watoto wao kulia watataja vitu kama; njaa, kutaka kunyonya, kukataa kunyonyeshwa, kwamba ameshiba (wakati wa kulishwa) maumivu, usingizi, joto, baridi, kutaka...
  11. Kwanini mageuzi ya kusitasita ya Rais Samia yanachochea hasira ya kisiasa nchini Tanzania?

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha, Kiongozi wa chama cha upinzani Chadema Freeman Mbowe amekamatwa mara mbili wiki za hivi karibuni Maelezo kuhusu taarifa Wimbi la hivi karibuni la utekaji nyara, kukamatwa na mauaji ya kikatili ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani nchini Tanzania...
  12. Je, zile Hasira zake za jana zinaenda pia na kwa Watu wake hasa wa CCMVU na MK Ima au ni kwa Sisi Watesi, Wamarekani na Wapinzani?

    Nitashukuru kama nikijibiwa juu ya hili kwani najua kuwa hata Watu wa Chamani Kwake nao walipaza sana Sauti zao.
  13. Wazazi tuchunge sana maneno yetu tunayowaambia watoto wetu tukiwa na hasira.

  14. Nina bahati mbaya na ma Ex, wengi wanavinyongo na hasira na mimi.

    kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
  15. Unatumia njia gani kutuliza hasira zako?

    Hello my people,kama tujuavyo kila mwanadamu ana hasira by nature hasa pale anapokwazwa na mtu au jambo fulani ambalo halimpendezi. Binafsi nikiwa na hasira huwa naenda kulala nasinzia nikija kuamka walau zimepungua, au kama mtu akijua amenikera basi asiendelee kuongea. Je wewe una-handle vipi...
  16. Nape, Makamba, Kinana, Wamasai, Chadema na hasira za kutemwa=FURAHA YA WAPIGAJI?

    Boss lady atambue, hana uwezo wa kupambana na hila za wafitini wakimwamlia. Kasi yake ya kuongeza u hasama inaendelea kushika kasi kwa mwendo kasi wa ajabu! Kasi yake ya kujiongezea maadui inatishia mno salama yake ki siasa. Nahofia hao hapo juu wakiungana kwa minajili ya kumdhoofisha ama...
  17. W

    Joto Hasira- Lady Jaydee ft Prof Jay

    Chorus: Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa VERSE 1: siku nimenuna Kwanini tunagombana Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa Na sioni hata maana Ya si...
  18. PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  19. Leo 'Wakubinuka' daima wana Hasira ( Usununu ) kweli kweli Ulimwenguni

    Yaani kila nikiwatizana 'Wakubinuka' daima hata kwa Kuwatizama katika Kioo ninaona Wote wamejawa na Hasira Kali.
  20. Zikipita siku 3 tu sijamgusa Kiburi, Hasira na mizozo inaanzaa!

    Wakuu, Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu. Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…